mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 367
kwani umeumia au?alafu wew mtoto wa kiume jikaze,maan unaonekan uswahili.mwingi unao,alafu.mimi mtoto wa kike nisije kukuweka kati,we km umeumia potezea acha wenye pesa wajilie mwenye kisu kikali ndo mla nyama,km una ela tafut sahiv yak atakayekupa bure,ahahahah ntacha veeepeee na njaa zenu
Yani umemaind kupita muhisika,km unatafuta mgegendo wa bure bas acha kuwaka watakuj wenyewekwani umeumia au?alafu wew mtoto wa kiume jikaze,maan unaonekan uswahili.mwingi unao,alafu.mimi mtoto wa kike nisije kukuweka kati,we km umeumia potezea acha wenye pesa wajilie mwenye kisu kikali ndo mla nyama,km una ela tafut sahiv yak atakayekupa bure,
Hahaha na kweliKama hata elfu30 bado inakupiga chenga ni bora ukawekeza nguvu na muda zaidi kwenye kujenga maisha yako badala ya kusumbua watoto wa watu. Itakuwa hata nauli ya bus ulilipiwa wewe, chunga tu usije chumbiwa wewe
we jamaa umenifanya nicheke hii topic imepata wadau sana sijui watu wanakutana na matibwili kama hayaElfu30 ni nini! Elfu30 ni hela nayo!? Wanaume wanaisha wanabaki wavulana tu Kazi kulalamika siku nzima. Uanaume ni majukumu na kumtunza mwenza wako ni moja ya majukumu ya mwanaume kamili au unataka utunzwe wewe angalia usije chumbiwa.
Acha dhambi mkuu[emoji1]Mwambie aje achukue kwako kisha akifika kaba hujampa mwombe O akikupa lipia elf30 ni ndogo kwa ununuzi wa bidhaa hiyo
Usisahau risitiMwambie aje achukue kwako kisha akifika kaba hujampa mwombe O akikupa lipia elf30 ni ndogo kwa ununuzi wa bidhaa hiyo
Hahahaha wewe hupendi pesa?Hahahaaaaa.......wanaume wa dar??ngoja wakusikie......halafu mbona mnapenda sana pesa nyinyi watu???
asante mkuuKwa hiyo unafikiri hiyo ndo itakuwa shughuli nzito kwake????, we mwomba ushauri achana na huyo bana, usikurupuke tena kufanya jambo kama hilo.
jiridhishe kwanza na unayetaka kumtongoza. Don't just take ANY
kwa hiyo safari nzima tukae kama mabubu?halafu hiyo lunch angeniombea wapi maana vituo vya misosi tulishavipita!Alafu hii tabia ya kusafiri,alafu ukakaa na mwanaum pemben yako yani lazima tu mwanaume atamtongoz mwanamke,na sio kwamba amempenda kweli yani huwa najiulizaga sana,sijui ni tamaa,au ni vp,tena huyo bi dada kakukosea yani kachelewa ili bidi humo humo kweny bus akuombe lunch kwanza,yan km mimi najua hapo amna upendo km yy amenichukulia poa,mimi pia nakuchukulia poa,so ningeanz kuku bp na luch uninunulie,alafu ela ya kusuk ingefata kesho yake
kifua ninacho mkuu na mbavu zakeUwe nakifua basi 30 tu
nikikutongoza nimekuwa malaya?Umalaya gani hapo sasa,na.huyo aliyekutongoz sio malaya,km uwez pita kushoto