Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.

Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.

Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????

Sjamuelewa kwakweli

funguka babu mwambie unavutiwa sana na yeye hasa akiwa amenyoa kama vile naomi cambell
 
Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.

Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.

Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????

Sjamuelewa kwakweli
Kimbia fasta
 
Ungepewa papuchi leo leo tu isingekuja humu kuanzisha uzi, bali ungejiona kidume sana. Mpe ngawira mrembo azidi kupendeza. Unataka akuletee papuchi huku nywele zikiwa hovyo hovyo ili upate sababu ya kumpiga chini!? Demu mwenyewe hata hajitunzi nywele hovyo hovyo! 🙄🙄🙄

kwani nywele zikiwa timtim papuch inabadilika mkuu?
 
Back
Top Bottom