Nimeombwa hela ya kusukia


funguka babu mwambie unavutiwa sana na yeye hasa akiwa amenyoa kama vile naomi cambell
 
Kimbia fasta
 
Ungepewa papuchi leo leo tu isingekuja humu kuanzisha uzi, bali ungejiona kidume sana. Mpe ngawira mrembo azidi kupendeza. Unataka akuletee papuchi huku nywele zikiwa hovyo hovyo ili upate sababu ya kumpiga chini!? Demu mwenyewe hata hajitunzi nywele hovyo hovyo! πŸ™„πŸ™„πŸ™„

 
kwani nywele zikiwa timtim papuch inabadilika mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…