Nimeombwa hela ya kusukia

Wewe mwombe ya kunyolea
 
Ww nae mshamba.ela ya kusukia tu unahubiri.ungeomwa ya gari???
 
Kaka ndo jitoe ufaham utume
 
michepuko inagharama sana kaka chagua moja lipia ujitoe muhanga au zuia pesa yako usalimike
 
Wanaume tunatofautiana sana elfu 30 za kusuka imekuwa issue. Ungeombwa hela ya kununulia Brazilian hair si ungeenda kufungua kesi police.
 
Wanaume tunatofautiana sana elfu 30 za kusuka imekuwa issue. Ungeombwa hela ya kununulia Brazilian hair si ungeenda kufungua kesi police.
Brazilian hair?yeye ni mbongo mkuu...tena mhehe sasa brazilian hair za nini tena hapo....si kuumizana huku?kuna mkuu alishasema humu,hawa viumbe hawana huruma na sisi!...naanza kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…