Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Niko iringa mkuu,itakuwa ni mmojawao maana hadi nimeshangaa yaani kweli iringa?chuo chao kinaitwaje nije kudaka mwingine labda nitabahatisha wa bei ndogo.....ila ni visu daah!
cha ustawi wa jamii kipo ipogor wapo watoto wakichaga kibao kama utashindw ilo sogea hapa miyomboni kuna watoto wakali wanajipitisha ni wakali me na duka hapo hii mada imekuwa pendwa jana
 
Hahahahaaa......wacha nikitoka kibaruani nitapitia hapo,duka laitwaje ama waweza nielekeza zaidi mkuu?
 
allan pamba kali lakini mimi sipo ili wiki siku nyingine ukipigw mzinga mwambie aje achukue gest ila inakera mtu umempenda kumbe shida yake ni kuuza
 
Umeonaee mkuu?hakuna noma hilo duka nalipata vizuri sana nitafika hapo....yaaani huyu dada imekuwa kero sasa pamoja na kumkaushia jana leo bado anaendeleza ligi......hachoki mkuu na hicho ndo kinachonitisha sio kwamba pesa sina.
 
LEO HII NIMEOMBWA NAULI AJE CHA AJABU NIMETUMA HAJAJA MPAKA MUDA HUU TOKA MCHANA CM KAZIMA NA KITANDANI NIMEKUMBATIA MTO NIMEAPA SITARUDIA TENA UPUUZI WA LEO
Halafu kuna watu wananishauri nitume buku 30!wewe nauli tu umelizwa!
 
cha ustawi wa jamii kipo ipogor wapo watoto wakichaga kibao kama utashindw ilo sogea hapa miyomboni kuna watoto wakali wanajipitisha ni wakali me na duka hapo hii mada imekuwa pendwa jana
Kumbe ni wakichagaa!!!!!!!!!!??
 
Mwambie afate ghetto kwako akija make sure unachoma kwanza ndo unampa hiyo hela ya kawaida sana kama hataki kuja mpotezee faster hakuna hela ya bure Siku hizi
 
Back
Top Bottom