Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Nimekukubali mkuu wangu!!
Pamoja mkuu fuata maelekezo yangu na ya wakuu wengine kwa ujumla sema ukifanikisha ukumbuke ile zana ya ng'ombe pori...maana watu wa dizain hiyo nao sio wa kuwaamini sana[emoji4] pia ulete mrejesho....
 
Dah... Kwani ulivyomtongoza mambo ya kusuka yalikuwepo kwenye makubaliano yenu?[emoji4]
 
Hili jukwaa limekuwa la kitoto sana siku hizi,unaleta hoja za hovyo hovyo na watu wanachangia kama majuha.
 
Kwani ni biashara? Au ni bidhaa? Nini cha bure hapo...mimi nashangaa sana mkiongea maneno hayo! Yaani jamaa amgegede vizuri na mpaka msichana afurahi halafu amuongeze na pesa juu! Kwani starehe atapata mwanaume pekee? Halafu mapenzi ni mchezo wa kupeana...nipe nikupe!!! Kumpa pesa mpenzi ni maamuzi tu, ambapo yeyote anaweza kutoa bila kujali jinsia...
Ushasema nipe nikupe,kwahiyo wewe unataka kugegenda tu alafu matunzo ampe nani?acha hizo hadith za sungura na fisi,mjini akili,kijijini kulima,nyie mnatak kugegenda tu alafu umkiona madem wanavutia ndo mnawatak muwe nao hujui nani anagharamia,yani km kituo cha kulelea wasiojiweza nn,
 
Pamoja mkuu fuata maelekezo yangu na ya wakuu wengine kwa ujumla sema ukifanikisha ukumbuke ile zana ya ng'ombe pori...maana watu wa dizain hiyo nao sio wa kuwaamini sana[emoji4] pia ulete mrejesho....
Mrejesho ntaleta,sasa mkuu hiyo zana pori ndo ipi?
 
30 tu povu linawatoka huku mnataka watoto wa zuri,km inawashinda si mkachukue type zenu,wala ice cream na ubuyu
 
Back
Top Bottom