Ingekuwa watanzania tunajielewa..kwa hii video kungestahili kuwe na maandamano makubwa kwenda kwenye ofisi za ubalozi wa hawa wauaji kulaani tendo hili.

Basi tena, akili zimebaki za uchawa tu!
 
Vita haina macho, Israel na Palestina ni uwanja wa kivita na kila mtu hufanya kila awezalo kutafuta anachokitafuta.

Kifupi hayo maeneo ni No Go Zone.

Mauaji yeyote hayakubali.
Hii ndio pointi ya msingi,

Watu inabidi wakemee mauaji kwa wote sio upande mmoja tu
 
Hivi lini unaenda kubatizwa? papa si karuhusu mashoga wabatizwe au basha wako hatati?
Halafu unapiga piga kelele humu unakufa bila kujitoa mhanga wewe huijui takbir au? Hujui kama ukienda Gaza ukifa unapewa mizigo 100? Acha kufa kiboya wewe. Allahu Akbaru
 
Lengo lao watu wawachukie hamas wawaone kama wauaji
Ila watashindwa nampaka sasa washashindwa tayari
Pole kwa familia ya mollel pole zao sana sana sanaaa
Ila ukweli tutaendelea kusimama na hamas wapigania uhuru
Acheni kujifanya mnajua hamas ni Magaidi na Dunia nzima inajua

Unaenda pambana na mtu ambae hata silaha hana,mtoto mdogo eti unadai uhuru,badala ukapambane na jeshi
 
Wengi wanaona sawa kwa kuwa kijana aliyeuwawa ni Mkristo. Hawa ni wapumbavu waliojaa udini.
Tunapaswa kuwa makini sana kama taifa, kuna viashiria vya watu kuupenda na kuunga mkono ugaidi. Utawaona kupitia michango yao kwenye mitandao ya kijamii. Ni dalili mbaya.

Hatupaswi kuwachekea watu wa namna hii, na huwa wanakuja na vijiswali vya kijinga kijinga wakijifanya wanaibua hoja.
 
Daaah Yani mpk nakosa la kusema.ila KIZIMKAZI hana muda na Watanganyika.hata kutoa kauli tu ni shida.ila wangemwambia teua au tengua chapu chapu
 
Usiniletee ushoga kuhoji ni kutetea? Mimi siyo punguani kama wewe kumeza tu eti kanali
Labda kanali wa mashoga.
Pamoja na kusali Swala 5 kwa siku,mkitoka hapo mnaua na kurusha mabomu makanisani
🙆🙆🙆
 
Acheni kujifanya mnajua hamas ni Magaidi na Dunia nzima inajua

Unaenda pambana na mtu ambae hata silaha hana,mtoto mdogo eti unadai uhuru,badala ukapambane na jeshi
Nendeni mkawasaidie israhell kuwafuta hamas basi kama munaweza
Maana hao walokua tegemeo lenu washachemka
 
Serikali ya Tanzania lazima ilaani kitendo ambacho HAMAS wamekifanya…
 
Halafu unapiga piga kelele humu unakufa bila kujitoa mhanga wewe huijui takbir au? Hujui kama ukienda Gaza ukifa unapewa mizigo 100? Acha kufa kiboya wewe. Allahu Akbaru
Sasa niende Gaza nimeache Mama yako nani atamtafuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…