Hahaha unajifariji tu[emoji1787]
Najua umeshtuka, hukuwa na taarifa ya mashekh wako wanaokazwa! Kwa taarifa yako nna majina, video na picha zao 50 za masheikh tofauti machoko na wanaongoza ibada kama kawa! Huo utakatifu mnaojipa uko wapi!?
 
Ni kazi sana. Gaza imekua "open prison" kwazaidi ya miaka 60 kila kinachotumika Gaza anaeamua kiingie ni Israel. Ndani ya West Bank kwenye miji ya jenin Nablus wapalestina hawatambuliki na israeli imekua ikiwakamata na kuwafunga katika jela za israeli ukionekana tu unaongea ongea kuhusu uovu wa israelik wapalestina. Ndani ya palestina kuna kambi za wakambizi zaidi ya 20 ndani ya nchi yao wenyewe.

Mkuu hutaamini lakini israeli anawafungwa watoto wa kipalestina zaidi ya 800 kwenye magereza ya israeli hii ipo kabisa kwenye sheria zao.sijasema watu wazima .hawa wapalestina wanapitia tabu kubwa sana lakini hakuna wa kuwasaidia. Wanapojitahidi kupambana ndio kama hivi wanaitwa magaidi. So sad. Dunia inewatupa.

Oslo accord 1993 ilikuja na azimio la two state solution. Leo hii israeli hataki kusikia suala la kuundwa kwa taifa la palestina na balozi wao wa UK alisema wiki iliyopita alipofanya mahojiano na Sky news.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakuona kama Nyani tu huna faida kwenye hii Sayari....

Kuna nchi huwezi hata kukatiza kitaa ...yaani fulu mfungwa.....waulizeni wanao hudumu Balozi huko Nje....
Waafrika kuna haja ya KUJITATHIMINI....Kila ENGO
Mengi maovu ya kutisha HAYATANGAZWI....
 
Hamas hawajui adui yao ni nani

Hawajui wanachopigania

Hawajajipanga

Ni vichaa tu
 
Ukitaka kujua ni watoto au magaidi jichanganye kwenye anga zao uone wanakuchinja huku wanaimba Allahu Akbaru Allahu akbaru...takbirrr.
Kumbe ndio maana Askari wa Israel wanaogopa kuingia Gaza, wanajua Hamas watawachinja kama kuku
 
Taifa lina mamb mengi ya msingi ya kufanya hatuwezi kukaa tuna ongea ongea kifo cha mtu mmoja, wakati watu wana kufa kila siku kwa uzembe ma hospitalini
Na assume tu mzee mollel au ndugu wanaona comment kama hizi.

Asee ni bora zile video zisingerushwa najaribu tu kufikiri wazazi wapo kwenye hali gani, ndugu zake wa karibu.
 
Joshua Mollel, 21, an agricultural intern from Tanzania, was kidnapped by Hamas terrorists on October 7 from Kibbutz Nahal Oz. On December 13, his death was confirmed, and authorities said his body is being held hostage in Gaza.

Fellow Tanzanian Clemence Mtenga, who was originally thought to be held hostage following the October 7 attack, was declared dead on November 18, and his body was sent back to Tanzania for buria
 
Hahaha unajifariji tu🀣
Wale masheikh waliohukumiwa kunyongwa Arusha wauawe wote

Badala mueneze dini kwa upendo,mnarusha mabomu makanisani

Nani atakuja kwenye hio dini sasa?
 
Propaganda za vita
Hao ni wa Syria ni Pro Western wanatumiwa na America na Israel ukisikia accents zao unafahamu kabisa hao ni wa Syria si wa Palestine huyu kauliwa na Israel kwa njia ya hao wa Syria.

Mimi na uhakika Hamasi hawaongei kiarabu cha vile, pili Hamasi hawakuingia na baskeli, tatu Hamasi hawezi record video kama hi hata siku moja hu ni ujinga wa Israel πŸ’― na itatoka tu siri Hamasi hawawezi kukubali ujinga wa hivi hata siku moja.

Poleni mlio fiwa na uhakika haki haipotei, lakini fatilieni vizuri hao ni wa Syria wanao pigana na serekali ya Syria ni ma Pro Israel.
 
Wamelaamiwa
 
Najua umeshtuka, hukuwa na taarifa ya mashekh wako wanaokazwa! Kwa taarifa yako nna majina, video na picha zao 50 za masheikh tofauti machoko na wanaongoza ibada kama kawa! Huo utakatifu mnaojipa uko wapi!?
🀣🀣🀣🀣
Yaani punguani kama wewe unistue endelea kujiliwaza na kijifariji.
 
Tusikurupuke kama mazombie na kuanza kulalamika tu ni kweli mwenzetu amefikwa na mauti lakini lazima tuhoji. Hivi serikali ya Tanzania inaweza kumuita Balozi wa Israeli kumuhoji haya maswali ya msingi?
Yaan wauwe Palestine afu umuhoji israel
 
Hamas wanapigania ardhi yao iliyoporwa na Wayahudi
Ndio uue kila Raia unaekutana nae?

Pigana na jeshi sio raia wasio na silaha

Hio ardhi hawatakaa waipate toka 1948 hawajapewa unadhani Dunia ni wajinga wapewe?

Na wakileta mazoea hata hapo Gaza wataondolewa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…