Hamas waliua arab Bedouin na alikiri yeye ni muislamu bado Wakamuua. Kuna videos nyingi watz hamjaona bado. Ntatoa link muangalie unyama uliotokea. Unaambiwa ile Familia ikiwaona Hamasi itawamaliza kabisa.
Watu wengi wanachukulia hizi vita ni za kidini,kwenye jeshi la israel kuna waislam kibao ila hao wanawasapoti africa hawajui iko kitu,israel hamna ukristo,wakristo wapo upande wa palestina na hata makanisa yaliyopo jerusalem wanayosimamia ni hao wapalestina,afrika dini tumeweka mbele sana tofauti na hao waliotuletea hizo dini
 
Nimedondosha chozi!
Basi naisikia roho iliyo ndani yangu ikisema hivi!
NA ALAANIWE AILANIYE ISRAEL
NA ABARIKIWE ATAKAYEIBARIKI ISRAEL 🙏🙏
 
Naamini sasa watanzania watakuwa wameelewa kwanini Israel haiwacheleweshi hawa magaidi kwenda kutunukiwa zile bikira 72
hii dini ya aya za shetani ni zaidi ya bangi
Waepuke watu wenye imani hii kaa nao mbali.
Bikra yako unakumbuka ulitolewa lini?
 
Haya magaidi ni mashetani.

Uongozi wa sasa una udini mno.

Inshangaza Rais yupo kimya raia wake wanauawa kinyama kisa waliofanya hayo mauaji ni watu wa dini yake.
Acha uchochezi mkuu
 
Kwaio ndugu yetu Mollel ameuwawa na HAMAS au hajauwawa?
 
Hawa wa kilimo wanatokea Hort pale Tengeru, probably na huyu ni product ya pale iliyopata nafasi kwenda huko kwa iyo program.
 
Kiasili, waarabu ni mashetani. Fuatilia uone yalivyoendesha biashara ya utumwa. Jitu mpaka liliitwa Tip Tip, kwa sababu kwake kuua mtumwa ilikuwa kama unavyoua nzi.
Wewe huna ujualo unalishwa maneno na wazungu na wewe unameza tu kama mamba pole sana
 
Ukiona/kuhisi kuwa hautakiwi kuwepo eneo fulani ondoka haraka. Ukikosea tu unajiponza.
 
Leo wamegeuza stori. Kuwa yule dogo alikuwa ni mpelelezi wa Israel (mossad) kisa kavaa boxer yenye rangi ya jeshi. Ndio maana hamas wamemuua.
Wamezoea uwongo maana ni watoto wa Ibilisi na dini yao ni ya shetani na ndiyo maana wakiombewa mapepo yakiwa yanawatoka huku yakiungua utasikia yakiongea kiarabu
 
Si mlisema kashikwa mateka?

Hao wanaweza kuwa mazayuni wametengeneza senema hiyo baada ya kumuuwa, wakajidai eti kauliwa na Waarabu.

Hollywood hiyo.
Unaongea hivi ukiwa na akili timamu Kweli au ?
 
Wewe ni mpumbavu
Upumbavu wangu upi? Kwani Mollel yeye alijua madhara ya kuvaa chupi ya kijeshi??? Hata yeye hatuwezi kumhukumu kwa sababu alikuwa hajui pia. Ila Israel ndiyo inapaswa kulaumiwa. Walipaswa wawape elimu ya ulinzi binafsi kabla ya kuanza kazi. Kijana kafa kifo cha mazingira ya kujitakia bila kujua.
 
Wamezoea uwongo maana ni watoto wa Ibilisi na dini yao ni ya shetani na ndiyo maana wakiombewa mapepo yakiwa yanawatoka huku yakiungua utasikia yakiongea kiarabu
Hao ndivyo walivyo. Hata kipindi wameibuka wale magaidi wanaoua watu taingia wanaanzia mwanza, kilindi, mapango ya amboni Tanga, Kibaha, Vikindu, Mkuranga, Rufiji, Kibiti, Mtwara mpaka wakaingia Msumbiji wao walikuwa wanawatetea humu jf bila aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…