Acha kua zuzu wewe inamaana hata HUONI kilichotendeka au unajitoa ufahamu sababu ya uislamu na anatajwa nani wakati wanafanya mauaji yao sema wanamtaja nani? Allahu Akbaru ndio nani?

KWA MFANO WEWE UKICHUKUA VIDEO UKAANZA UA NGURUWE HAPO KWENU KISHA UKAWA UNATAMKA MANENO HAYO ALLAHU AKBAR TENA UKIWA UMEVALIA ZAKO VAZI LA KIARABU LA KANZU,TUTAJUA KUWA WEWE NI MUISLAM AU NI KAFIRI??

CHUKUA HAPO BIBLE YA KIARABU SOMA,ANGALIA GOD ANAITWAJE KWA HIYO BIBLE YAKO YA KIARABU,SHIDA YENU MAKAFIR HAMNA AKILI NA MKO BRAIN WASHED SANA
 
Ile inaitwa war propaganda iliandaliwa na kitengo maalumu cha IDF ku blackmail Hamas na kujustify vita kwa hamas
 
WAPUUZI TUH NDIYO WATAKAA WAAMINI HIKO KITU,HABARI MBAYA KAMA HIYO MAIN STREAM MEDIA WAACHE KUIRUSHA??

ETI HABARI INAZAGAA MTANDAO WA X NA KWINGINE HUKO KISHA USIMAMIE KUWA NI YA KWELI??
hHawa jamaa wa humu roho inawauma, mjoimba wa mungu wao anashindwa kujitetea, anachezea kichapo kutoka kwa watoto wadogo na kusifiwa kwake kote.
 
Weka video hapa
 
Wewe ni bonge moja la Mjinga defence mechanism yako ni ya kipumbavu,
 
Hamas walirekodi kila kitu walichofanya, hizo video zimekutwa baada ya Gaza kuvamiwa. Ndiyo imetoka wiki hii, hiyo video ipo kwenye website ya Hamas nenda kaangalie ukiweza kuingia. Kwani walivyorekodi wakati wanavamia Kibbutz hiyo October 7, walikuwa na nia gani, na aliyerekodi alikuwa na nia gani? na kwanini wamemua mwafrika? Hayo maswali kawaulize HAMAS, tulichoona ni huyo mwanafunzi asiye na kosa ameuawa na hayo Ma-Hamas. Period.
 
UBALOZI WA PALESTINE UKO HAPA TOKEA ENZ ZA NYERERE,NA I THINK UBALOZI AMBAO HAUPASWI KUWEPO HAPA NI UBALOZI WA ISRAEL,
ubalozi wa palestina una faida gani hapa, kwa mfano? sijawahi kuona dini ya kishetani kama hii, na nawaasa watanzania ogopeni huyu mungu wa kiarabu anayeabudiwa na hawa watu. ni katili na hana mbingu ya kuwapeleka.
 
1. Magaidi huwa hawongozi na principles zozote katika mambo yao, waathirika wakubwa wa matendo ya ugaidi duniani ni Waarabu, Waislamu na Waafrika. Mfano kule Iraq, Afghanistan, Iran na Pakistan wanaouwawa na magaidi wanaojitoa mhanga ni Waislamu wenzao.
 
hHawa jamaa wa humu roho inawauma, mjoimba wa mungu wao anashindwa kujitetea, anachezea kichapo kutoka kwa watoto wadogo na kusifiwa kwake kote.
Kwa hio wewe yule Mwafrika kuuawa kikatili umefurahia sana au sio sababu ana Jina la kikiristu na wanamuua huku wanamuimbia Allahu Akbaru au sio? Umefurahia sana au sio?
 
huyo ni mtoto wa kitanzania, sio myahudi, ni mmasai tu, ila kwako ndio shida, labda kwasababu ni mgalatia ndio maana haikuumi. hii ndio sababu inafika mahali watu wanasema wacha tu wapalestina wauawe, hamna namna. kwasababu ya ukatili walionao.
 
Inasikitisha sana.
 
Kuna matukio mengi Hamas wanawaua mateka na kurekodi video, hiyo ni tabia yao, msitake kuuficha ukweli.

Juzi mwezi uliopita walimuua msichana wa kizungu kwa kumchinja, kisha video yake wakamtumia kaka yake aliyekuwa nyumbani na stress za kupotea kwa dada yake.

Hamas ni mashetani, no way out.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Unge declare interest kwanza kuwa wewe ni ISLAM, ungeeleweka ulichoandika.
 
Kwa hio wewe yule Mwafrika kuuawa kikatili umefurahia sana au sio sababu ana Jina la kikiristu na wanamuua huku wanamuimbia Allahu Akbaru au sio? Umefurahia sana au sio?
zaidi sana, yule sio mwafrika tu, ni mtanzania, mmasai, anaitwa JOshua Mollel, alichukuliwa na samia kupelekwa Israel akajifunze kilimo, magaidi yakamuua vile. na FaizaFoxy hana shida na hilo kwasababu aliyeuawa ni mkristo. magaidi hata hapa Tanzania ni wengi sana, mmojawapo ni FaizaFoxy
 
Nani aliemvamia mwenzake na kuanza kufanya mauaji pamoja na kuteka wtau? Kwa mujibu wa vyombo vyako unavyovisema vilisema nani kamvamia mwenzake Israel au Palestina?
On May 26, 1948, the Israel Defense Forces officially began acting as Israel's sole, unified military organization charged with protecting the territory and citizens of the two-week-old state

HAMAS formed in late 1987 at the beginning of the first Palestinian intifada (uprising). Its roots are in the Palestinian branch of the Muslim Brotherhood, and it is supported by a robust sociopolitical structure inside the Palestinian territories.

HAMAS IMEKUJA KWENYE OPERATION MWAKA HUO 1987,HAO IDF WAMENZA UOZO WAO TOKEA MWAKA 1948 NA BAADA YA KUWA HAWATAKI PEACEFUL WAYS YA KUTAFUTA AMANI NA WAO WAKAONA LAZIMA WAJIDEFEND,SASA UNAANZAJE KUMAPA LAWAMA MTU AMBAE ANAJIDEFEND KWA UMWAGAJI DAMU WA IDF WA ZAMA NA ZAMA??

HUTUMII AKILI WE KAFIRI??
 
Kweli sasa nimeamini kumbe Nchi hii itatawaliwa na CCM milele au karibu na milele !
Uzi huu umepandishwa jana saa kumi na mbili kasorobo na mpaka leo umeshafikia page 73 mpaka saa hii 9.44 !
Mjadala unaonekana umeegemea kwenye udini udini zaidi kuliko uhalisia wa tukio lenyewe !!
Hii inaashiria kwamba ndani ya Nchi hii hakuwezi kupatikana umoja wowote ule wenye nguvu utakaoweza kuwashinda CCM na kuwaondosha madarakani !!

Wanasemaga Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu !!
My take ; Umoja huo hapa haupo na hautarajiwi kuwepo anytime soon !!
Kwahiyo lile neno Milele au karibu na milele linapata nguvu sana πŸ™πŸ™πŸ™
RIP Joshua πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…