Wameuawa wakifanya nini?Wapalestine zaidi ya 19000 wameuawa
NENDA KWA MWAMPOSA KAKANYAGE MAFUTA,MAMBO HAYA YAMEKUZIDI AKILI NA UPEO KAFIRI USIO NA AKILI.
CHOMBO GANI CREDIBLE KIMERIPOTI TAARIFA HIYO ZAIDI ZAIDI YA TAARIFA KUTOKA UBALOZI WA HILO TAIFA GAIDI MNALOLIITA NI TEULE LA MUNGU??
..Iddi Amini aliwalaghai PLO na Walibya wakaenda kumsaidia kupigania na majeshi yetu.
..Pamoja na hayo Tanzania tulishasameheana na PLO.
..Mwaka 1982/83 PLO walifungua ubalozi wao hapa Tanzania.
..Pia mwaka 1987 Yasser Arafat alihudhuria mkutano mkuu wa Ccm Chimwaga.
Thibitisha vinginevyo, otherwise shut up..Mna uhakika hao wanaoua watanzania ni hamas?
Thibitisha vinginevyo, otherwise shut up..Mna uhakika hao wanaoua watanzania ni hamas?
Wakati mwingine malumbano na ushabiki wa aina yako unaweza kuku cost usije sema hauja ambiwa.....Hiyo inaonesha wazi inayopigwa risasi maiti.
Mazayuni wamelikoroga wakaona bora watengeneze sinema kutafuta support.
Kwanini zaidi ya miezi miwili haijatoka itoke leo?
Hiyo staged kabisa.
Sidanganyiki kijinga.
HILO HALINA SHAKA,TUNACHOULIZA SISI NI KWAMBA SOURCE IPI YA KUAMINIKA IMETOA TAARIFA YA HAYO MAUAJI UKIACHILIA MBALI HAO TAIFA TEULE LENYE LAANA YA MUNGU?
Sijui suala la Dini. Dini ambayo inaua mtu si Dini sahihi. Ni ya Kishetani kabisa. Maana shetani ndo kazi yake kuua.NA HILO TAIFA GAIDI LA MUNGU,WAKRISTO WENGI WAO WAKISHANGILIA...ILA WAKIULIWA WAISRAEL MNAKUJA KUSEMA HAMAS MAGAIDI
Shughuli mbalimbali.Wameuawa wakifanya nini?
Ukisema kina Nyamizi na kina T14 Armata wanasema tunawaonea wivu kwakua wanaenda israhellGaza ingekua huru nadhani Joshua angekuwa huru bahati mbaya imemkuta kwenye uwanja wa vita though hauhusiki. Nilisikia kuna nchi inataka kupeleka vijana huko eti kuna kazi. Jamani israeli na ukanda huo kwa sasa siyo salama tulieni majumbani mwenu.
Endelea kutamani hvyo hvyo ila angalia usije ukafutika weweInaumiza sana...
Natamani Palestine ya Gaza ifutwe yote kwenye ramani ya dunia ... yaani kizazi chote kiwe ni Israel by force... maana kupitia wao wakibakishwa... yata zaliwa magaidi mengine.. Palestina ibaki ile ya West bank..
GOD BLESS ISRAEL
inaumiza sana kwa wanachotendewa wapalestina mtu anafanyiwa uovu na unyama wa hali ya juu akijaribu kujitetea anaonekana gaidi.hakika inaumiza sana kwa anachofanyiwa mpalestinaNi kazi sana. Gaza imekua "open prison" kwazaidi ya miaka 60 kila kinachotumika Gaza anaeamua kiingie ni Israel. Ndani ya West Bank kwenye miji ya jenin Nablus wapalestina hawatambuliki na israeli imekua ikiwakamata na kuwafunga katika jela za israeli ukionekana tu unaongea ongea kuhusu uovu wa israelik wapalestina. Ndani ya palestina kuna kambi za wakambizi zaidi ya 20 ndani ya nchi yao wenyewe.
Mkuu hutaamini lakini israeli anawafungwa watoto wa kipalestina zaidi ya 800 kwenye magereza ya israeli hii ipo kabisa kwenye sheria zao.sijasema watu wazima .hawa wapalestina wanapitia tabu kubwa sana lakini hakuna wa kuwasaidia. Wanapojitahidi kupambana ndio kama hivi wanaitwa magaidi. So sad. Dunia inewatupa.
Oslo accord 1993 ilikuja na azimio la two state solution. Leo hii israeli hataki kusikia suala la kuundwa kwa taifa la palestina na balozi wao wa UK alisema wiki iliyopita alipofanya mahojiano na Sky news.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaendelea kukaaa mafuvu eeenh msije sema hamjakumbushwaBefore Oct 7 kulikuwa na ceasefire agreement.
Hamas kamatieni hapo hapoNilikuwa nawatetea hawa Hamas ila shortly ni terrorist! Rest in peace Joshua!
Pole kwa familia ya mollelUnatetea wauaji tu. Yani hata kama wana vita na Israel, walitakiwa kujua huyu si Mu Israel.
Hao Hamas ni terrorists tu.Kwenye vita hutakiwi kuua mtu ambaye hana silaha na kajisalimisha, unamchukua mateka.
Wangemchukua mateka pengine angekuwa kati ya mateka walioachiwa.
Siko katika kutetea Mzayuni yeyote, tafuta popote hutaona nimeandika hilo.Pole kwa familia ya mollel
Mazayuni wameua mpaka wanadiplomasia ila bado kwenu wanabakia kua watakatifu
Hata mandela aliitwa gaidi hizo kelele zenu hazitazuia mapambano ya hamas dhidi ya magaidi ya kizayuni
Www.google.comHivi foundation ya HAMAS ilitokana na nini mwenye kufahamu historia ya hawa mandezi
🤣🤣🤣Kwa hali hii iliyotokea, naona kuna haja kwa Serikali yetu kupeleka kwa siri kikosi maalumu cha kijeshi ili kwenda kuungana na Majeshi ya Israel (IDF) ktk kuwaangamiza hawa magaidi wa Hamas.