cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Nazungumzia squirt, baadhi ya wanawake hawana udhibiti mkubwa wa urethral sphincter, wakati wa msisimko mkubwa, hivyo yale maji maji huingia kwenye urethra na kutoka kwa wingi mno
Mfyuuuuuuugwu
Bado umeingia sasa ndio umekuwa mwanaume..
Mnyaturu wako wewe si umekuwa kicheche.. Kula mdogo mtu ni mbaya sana.. Hustahili heshima.. Subiri mdogo mtu aseme kwa mtu imfikie mkeo.. 🤮 Seimful mani
Miaka yote ulikuwa unajifunza.. Utake hata iweje now ndio umeona sikukuu hiyo eeeeeh
Endelea kujifunza isiwe ndio kuonja hayo once.. Usinilazimishe nikumbuke uzi uliandika.. Wakati ulijivunjia heshima mwenyewe.. Why nikumbuke hayo!...