Nimeona kitu kwa mke wangu ambacho nilitamani kujua kama ni kweli

Haukosei kabisa unaandika vizuri sana sema mimi ndio nashindwa tu kuelewa , kuna siku nafungua kabisa reply zako za nyuma nasoma taratibu ila bado natoka kapa😅

Ooh ukilike manoti unarudi nyuma, shukurani. Ila kama weye nimeona mtu anadai unajiweka kama haujui kitu ila kuna majibu upo vizuri sana sana na nilishakunoti staili yako humu😅😅😅🤗

Tusonge tu na kuburudika kuwa vile tunataka kivyetu kiuamuzi pekee HUMU JF. 😎
 
Ebu ngoja , 😅😅 wewe ni mtu wa pwani?
 
Back
Top Bottom