Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Halow halow ya Kingwendu😃😃😁🤣, nimecheka sana.Kabla ya kumpeleka nitajifunza jinsi ya kulitumia, likinipa matokeo ninayotaka naishi nalo.
Ujue nini mkuu, sijawahi kusikia kwa mwanamke yeyote akisema namna hiyo.
Comment yako imenifanya kujenga taswira ya haiba yako, nakuona ni mwanamke unayejitosheleza kielimu na kiutashi.
Hauendi kama bendera kufuata upepo, upo vizuri.