Nimeona mtoto anakojoa lakini mkojo hautokei kwenye chululu

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
19,749
Reaction score
62,766
Wakuu kwema??

Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint

Yaani kachululu kake kamesimama Tu kamenyooka hakatoi kitu ila mkojo unatoka Kwa chini kama mwanamke....

Na nyie mmeelewa kweli nilichokiona??
 
Hii kitaalamu inaitwa UUNGAJI MBOVU WA MABOMBA YA MAJI MWILINI kwa kimombo nimesahau wanatamkaje, inaonekana malahka alisinzia wakati anaifanya hiyo kazi au pengine dogo alikunywa maji mengi kuliko ugari ndio maana mitambo ikagoma kutoa dongo ikatoa maji maana ndiyo yaliyopo, na kama ni tatizo kweli basi mama yake mzazi atakuwa analifahamu kitambo, muulize sababu ya kukuficha hadi dogo kafika 4 years.
 
Hata mama Yake Nani sijui ni katoto Tu sijui walikua wanacheza na wenzie hata sielewi
 
Ni katoto Tu hata sijui Kanani
Kama unaweza muulize mzazi wake ni nani, ikiwezekana fika nyumbani kwao uonane na wazazi wake au ukipata namba zao ongea nao. Kuna wazazi hawapo karibu na watoto wao, hawawezi kufahamu mambo kama haya mpaka watoto wazidiwe sana.
 
Hii kitaalamu inaitwa UUNGAJI MBOVU WA MABOMBA YA MAJI MWILINI kwa kimombo nimesahau wanatamkaje, inaonekana malahka alisinzia wakati anaifanya hiyo kazi au pengine dogo alikunywa maji mengi kuliko ugari ndio maana mitambo ikagoma kutoa dongo ikatoa maji maana ndiyo yaliyopo, na kama ni tatizo kweli basi mama yake mzazi atakuwa analifahamu kitambo, muulize sababu ya kukuficha hadi dogo kafika 4 years.
Dawasco walikua wapi mpaka uungwaji mabomba ya maji unakua mbovu hivo.???
 
Back
Top Bottom