Bila shaka utakua umesha jiwekea imani fulani kama vile labda mtoto anazo zote mbili!Yaani Kwa chini ya chululu kuna kama vimashavu na katundu ndio kanatoa mkojo🤔
Ooh🤔sikumbuki fresh ila nasikia huwa inaitwa kitu kama hypospadias. yaan Tundu la urethra (ambapo mkojo unatoka) linakuwa haliko mwisho wa kichwa cha chururu, bali pembeni, chini ya kichwa, katikati ya shina la chururu au au p...***mbu
Hata mama Yake Nani sijui ni katoto Tu sijui walikua wanacheza na wenzie hata sielewiHii kitaalamu inaitwa UUNGAJI MBOVU WA MABOMBA YA MAJI MWILINI kwa kimombo nimesahau wanatamkaje, inaonekana malahka alisinzia wakati anaifanya hiyo kazi au pengine dogo alikunywa maji mengi kuliko ugari ndio maana mitambo ikagoma kutoa dongo ikatoa maji maana ndiyo yaliyopo, na kama ni tatizo kweli basi mama yake mzazi atakuwa analifahamu kitambo, muulize sababu ya kukuficha hadi dogo kafika 4 years.
Kama unaweza muulize mzazi wake ni nani, ikiwezekana fika nyumbani kwao uonane na wazazi wake au ukipata namba zao ongea nao. Kuna wazazi hawapo karibu na watoto wao, hawawezi kufahamu mambo kama haya mpaka watoto wazidiwe sana.Ni katoto Tu hata sijui Kanani
Itakuwa anazo 2, sasa sijui atachagua ipi akikua, kudinya au kudinywaYaani Kwa chini ya chululu kuna kama vimashavu na katundu ndio kanatoa mkojo🤔
Kumbe siyo kako mimi nikajua ni katoto kako, chukulia kwaida tu hao binadamu wa aina hiyo wapo sana tu.Hata mama Yake Nani sijui ni katoto Tu sijui walikua wanacheza na wenzie hata sielewi
Dawasco walikua wapi mpaka uungwaji mabomba ya maji unakua mbovu hivo.???Hii kitaalamu inaitwa UUNGAJI MBOVU WA MABOMBA YA MAJI MWILINI kwa kimombo nimesahau wanatamkaje, inaonekana malahka alisinzia wakati anaifanya hiyo kazi au pengine dogo alikunywa maji mengi kuliko ugari ndio maana mitambo ikagoma kutoa dongo ikatoa maji maana ndiyo yaliyopo, na kama ni tatizo kweli basi mama yake mzazi atakuwa analifahamu kitambo, muulize sababu ya kukuficha hadi dogo kafika 4 years.