Nimeona mtoto anakojoa lakini mkojo hautokei kwenye chululu

Inawezekana katoto ni intersex na kana changamoto ya kibaiolojia.
I hope wazazi wake watakatafutia msaada wa kitabibu au kisaikolojia!
 
Mkuu hii inaitwa ambiguous Genitalia, ni congenital malformation mtoto anazaoliwa akiwa hivo, but inaweza kuwa corrected kulingana na gender Ipi Iko prominent over gender nyingine, Hilo linakua decided na wataalamu

Tazama picha hapa
 
Ukiangalia kwenye picha hapo, hicho ki penis kimetokezea katikati ya mashavu ya uke, hivyo kusababisha kuwa na gender mbili, na kama mtoto uliyemuona alipokojoa mkojo ulitoka Kwa chini means urethra inayotumika ni ya kwenye vagina na SI kwenye penis
 
Ngumu hii... maelezo hayatoshi... pengine ungekuwa mzazi wake ungeelezea zaidi ili ujue pakuanzia.....

I'm sorry for the young man πŸ‘¨
 
Heshimu kazi ya Mungu
Kama Mungu ndiye aliyeamua kumpa hiyo changamoto ambayo hakushirikishwa kukataa au kukubali basi inatakiwa aachwe na isiwe habari maana wengi hapa bado wanazaa na matatizo na changamoto hiyo yaweza kutolea kwa yeyote . Hivyo asidhihakiwe kama Mungu alivyoamua kuweka pua sehemu yake kadhalika anaweza kupanga kiungo Cha mwili lkkae sehemu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…