Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kipi kilichokufanya ujiunge na michezo ya watu wenye upungufu wa nguvu za kiume? Sisi waislam hutakiwi kupitisha siku nne bila kutikisa kitanda kama mwenza wako hana tatizo lolote.
Endelea na mazoezi yako ya uhanithi
 
Tupe Aya, hadithi au maandiko ya wanazuoni kuhus hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…