Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Mwendo mdundo ndio naanza sasa...

mpaka Tarehe 1 mwezi 1 - 2025 itakua siku 60 ndio siku rasmi naingia honey moon.
 

Attachments

  • Screenshot_20241104-210114.jpg
    152.7 KB · Views: 10
Inahitaji nidhamu kubwa sana
Ntajitahidi kaka nimeshajarbu mara nyingi sana, na nimefanya mistake nyingi sana.

Naamini ilikua ni njia ya kujifunza kwa sasa sitaki tena kurudia makosa.
 
Wataalam wa Afya wanatuchanganya si walisema Ukifanya sex ndio mwili na ubongo vinafanya kazi vizuri na unakuwa na afya nzuri.
 
Ngoma inatembea hii hapa..

Nipo full yaani Saa 11 jioni baada ya job naingia Gym..

Nataka Saa moja jioni.

Saa 1 hiyo na saa mbili naingia masjid..

Saa 3 nakula..

Saa 4 full body home exercise..

Saa 5 Kenfel exercise.

Saa 6 kamili naingia bed.

Saa 1 ndio kuamka

Hii ndio ratiba yangu kwa sasa naishi humo.
 

Attachments

  • Screenshot_20241105-210138.jpg
    151.1 KB · Views: 9
Twende kazi..

Ila hii kitu inafanya uone Siku haziaendi..

Muda wa kupambana Ndoto sasa naona Siku zinaganda 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20241110-124731.jpg
    199.2 KB · Views: 7
Reactions: ywf
Twende kazi..

Ila hii kitu inafanya uone Siku haziaendi..

Muda wa kupambana Ndoto sasa naona Siku zinaganda 😁
Pamoja kijana tufikishe miezi 6 kila baada ya wiki tu update n changamoto tulizo kutana nazo
 
Twende Twende twende.
 

Attachments

  • Screenshot_20241117-144554.jpg
    145.2 KB · Views: 6
Miaka ya zamani sana tulipokuwa Seminari, wanawake tulikuwa tukiwaita 'Vipunguza umri'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…