Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Maana angu kuna watu wana ndoa wao wafanye NoFap na sio Semen Retention
Maana wasijeharibu ndoa

Watagongewa nje saaana
 
Mimi niliunfollow Insta wakina uwoya , zuchu , nandi , paula nk page yangu imejaa madini tupu na wanamichezo vilevile miziki ya hovyo pamoja na movies za kizungu nimetupilia mbali nilianza tokea kipindi cha covid tarehe niliandika kwenye kidaftari changu cha kumbukumbu na nikajiwekea kiapo siku nikisaliti chama faini yake ni kuachana kitabu hiyo ikanipa hamasa coz kitabu changu kina vitu muhimu siwezi kukichana hivyo kinatakiwa kuwa salama kwa muda wote.

Malengo ya kwanza ilikuwa miezi sita nilipovuka nikarenew contract sasa nimekuwa immortal chief General
 
Mkuu ukifika kama miezi 10 unaona nyota nyota
 
Maana angu kuna watu wana ndoa wao wafanye NoFap na sio Semen Retention
Maana wasijeharibu ndoa

Watagongewa nje saaana
Ni upuuzi kama uko kwenye ndoa kuwa memba wa #Nofap utamnyima hakinmkeo na kuleta madhara makubwa hii special kwa vijana haswa walio single kijiepusha na magonjwa ya zinaa pamoja na gharama zisizo na tija na kufilisi mitaji..
 
Nakumbukaga enzi zile kila nikijaribu kuacha masta…
Ikifika wiki in my head nasema “hongera sana kwa kufika wiki bila kunyonga, unastahili zawadi ya kunyonga walau hata kimoja” and just lyk that nsharelapse!!!

Kama unafanya hii challenge uku ukiwa idle, huna goals to chieve then ni bora usifanye cause unasumbuka bure, lazima utarelapse tu

Ndio unataka kusave money, ili ufanyie nini hiyo pesa? Kama huna cha kufanyia then uta bet kwa style ingine tu tofauti na nauli za warembo

Unakuwa more focused, ni kweli kama ukiwa na purpose kinyume na hapo ni uongo tu
 
Nipo hapa kwapa moyo, inawezekana [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hao warembo achana nao hao watakuharibia mtaalam....
 
Kweli kabisa hayo mapage ya kina uwoya mabaya balaa yanakuhamasisha hatari..... hata mimi nimeyafulia mbali. Nataka nifikie immortal
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…