Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ikatokea ukafa kwa kugongwa na gari leo, unadhani hiyo NoFap itakusaidia huko uendako?

Mimi nakula mbususu hadi zinikatae
 
Hakika mkuu safari sio rahisi, wacha tuendelee kujaribu jaribu, japo na majaribu pia ni mingi msee
Haha vipi kamanda sketi zinaanza kukufukuzia? inatakiwa usizizingatie hizo zitaharibu mchongo man...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…