Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Sasa kama legend muasisI umeaharibu chalenge unatufundisha nini sisi vijana wako
 
kuuliza sio ujinga wajameni...hivi ukikaa muda mrefu bila kutoa mbegu hazigeuki kuwa vyura kweli🙄
 
Kitendo Cha kumwaga tu
Ni kitendo unarudi kuwa weak,
Na hata concentration inapungua na mawazo pia.

Ila unapotumia muda mwingi ktk kusali na kusoma Biblia , lile pepo la tamaa halijagi usiku
Hii huwezi kuepeuka mkuu kuna siku nilipiga kazi nzito asubuhi adi jioni lakin bado nilipata ndoto nyevu
 
Nimeanza sasa hivi wakuu, pamoja na NO SEX,pia nimedhamiria kuancha baadhi ya tabia na kuongeza nidhamu katika baadhi ya maeneo.

★Hakuna kutongoza
★Kuamka ni saa 6:00 asubuhi
★kufanya mazoezi
★Meditation kila siku
★No sex
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-184412.png
    11.7 KB · Views: 29
Hata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;

*Kuwa siriaz na ibada(Maombi)
*Mazoezi kwa ratiba maalum(mpk You2be niliserch)
*Vitabu mbalimbal
*Kuachana na miziki na movies za hovyo
*Kupunguza mda kukaa na kuwaepuka watu wenye kuwaza ngono na upuuzi muda mwingi
*Kufuatilia vitu vya maana mitandaoni
*Nk
 
Ila naona mnaitafsiri tofauti, articles nyingi zinasema NoFap ni kitendo cha kuacha mastrurbation na kutazama porn.
Naomba niwajibie kama nilisoma vzur walisema wamechanganya vyote. Hongeren kwa wote Nimependa ata yakiwashinda mnasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…