Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Wanawake bana sijui vipi... mimi jana kuna demu mmoja jirani yangu na huwa hatunaga mazoea nae kihiiivyo sasa juzi kwenye mechi ya simba na yanga akasema mpaka akaangalie huko barabarani ni mbali hivyo akaomba aangalizie kwangu...me nikamwambia karibu.a. akaja tunacheki gemu weee sasa kipindi cha pili kimeanza nashangaa mtu anaanza kukaa vibaya vibaya anatanua tanua miguu huku anaichezesha chezesha hivi, nikaanza kumzingua zungua pale mara kakubali nikapiga kimoja. nikamwambia usiku aje alale kwangu nikaitandika ku..ma balaa. Kanuharibia chalenge yangu asee.

Hapa nimeona nianze rasmi tarehe moja mwezi wa sita.
Sasa kama legend muasisI umeaharibu chalenge unatufundisha nini sisi vijana wako
 
Sasa kama legend muasisI umeaharibu chalenge unatufundisha nini sisi vijana wako
Mwanangu toka nilivyoanza rasmi hiyo tarehe moja mwezi huu sijaharibu... Now mimi ni Master Sergeat.... Tunazidi kusonga
Screenshot_2022-06-11-09-48-10-654_com.emeraldislestudio.fapcounter.jpg
Screenshot_2022-06-11-09-48-18-275_com.emeraldislestudio.fapcounter.jpg
 
kuuliza sio ujinga wajameni...hivi ukikaa muda mrefu bila kutoa mbegu hazigeuki kuwa vyura kweli🙄
 
Kitendo Cha kumwaga tu
Ni kitendo unarudi kuwa weak,
Na hata concentration inapungua na mawazo pia.

Ila unapotumia muda mwingi ktk kusali na kusoma Biblia , lile pepo la tamaa halijagi usiku
Hii huwezi kuepeuka mkuu kuna siku nilipiga kazi nzito asubuhi adi jioni lakin bado nilipata ndoto nyevu
 
Nimeanza sasa hivi wakuu, pamoja na NO SEX,pia nimedhamiria kuancha baadhi ya tabia na kuongeza nidhamu katika baadhi ya maeneo.

★Hakuna kutongoza
★Kuamka ni saa 6:00 asubuhi
★kufanya mazoezi
★Meditation kila siku
★No sex
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-184412.png
    Screenshot_20220612-184412.png
    11.7 KB · Views: 29
Nimeanza sasa hivi wakuu, pamoja na NO SEX,pia nimedhamiria kuancha baadhi ya tabia na kuongeza nidhamu katika baadhi ya maeneo.

★Hakuna kuntongoza
★Kuamka ni saa 6:00 asubuhi na ★kufanya mazoezi
★Meditation kila siku
★No sex
Hata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;

*Kuwa siriaz na ibada(Maombi)
*Mazoezi kwa ratiba maalum(mpk You2be niliserch)
*Vitabu mbalimbal
*Kuachana na miziki na movies za hovyo
*Kupunguza mda kukaa na kuwaepuka watu wenye kuwaza ngono na upuuzi muda mwingi
*Kufuatilia vitu vya maana mitandaoni
*Nk
 
Ila naona mnaitafsiri tofauti, articles nyingi zinasema NoFap ni kitendo cha kuacha mastrurbation na kutazama porn.
Naomba niwajibie kama nilisoma vzur walisema wamechanganya vyote. Hongeren kwa wote Nimependa ata yakiwashinda mnasema
 
Back
Top Bottom