Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Angalia comment za nyuma utakiona ndugu. NmeshakiuploadNaomba kitabu Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia comment za nyuma utakiona ndugu. NmeshakiuploadNaomba kitabu Mkuu
Sasa kama legend muasisI umeaharibu chalenge unatufundisha nini sisi vijana wakoWanawake bana sijui vipi... mimi jana kuna demu mmoja jirani yangu na huwa hatunaga mazoea nae kihiiivyo sasa juzi kwenye mechi ya simba na yanga akasema mpaka akaangalie huko barabarani ni mbali hivyo akaomba aangalizie kwangu...me nikamwambia karibu.a. akaja tunacheki gemu weee sasa kipindi cha pili kimeanza nashangaa mtu anaanza kukaa vibaya vibaya anatanua tanua miguu huku anaichezesha chezesha hivi, nikaanza kumzingua zungua pale mara kakubali nikapiga kimoja. nikamwambia usiku aje alale kwangu nikaitandika ku..ma balaa. Kanuharibia chalenge yangu asee.
Hapa nimeona nianze rasmi tarehe moja mwezi wa sita.
Nini kimetokea?Aposto Kuna miujiza Huku
Umeachana na ile mizigo yako chiefKnight - Captain here [emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
Hii huwezi kuepeuka mkuu kuna siku nilipiga kazi nzito asubuhi adi jioni lakin bado nilipata ndoto nyevuKitendo Cha kumwaga tu
Ni kitendo unarudi kuwa weak,
Na hata concentration inapungua na mawazo pia.
Ila unapotumia muda mwingi ktk kusali na kusoma Biblia , lile pepo la tamaa halijagi usiku
reply zako huwa ni 🔥 idumu JfMnakosea Sana,
Mwanamke akiwa mjamzito peleka Sana Moto, itamsaidia wkt wa kujifungua.
Aahahahah legend kashashindwa challenge yakeSasa kama legend muasisI umeaharibu chalenge unatufundisha nini sisi vijana wako
Na inasaidia kupunguza mihemko bila hiyo kitu mtu anaweza kubaka hata Mbuzi .Hii huwezi kuepeuka mkuu kuna siku nilipiga kazi nzito asubuhi adi jioni lakin bado nilipata ndoto nyevu
Hata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;Nimeanza sasa hivi wakuu, pamoja na NO SEX,pia nimedhamiria kuancha baadhi ya tabia na kuongeza nidhamu katika baadhi ya maeneo.
★Hakuna kuntongoza
★Kuamka ni saa 6:00 asubuhi na ★kufanya mazoezi
★Meditation kila siku
★No sex
Naomba niwajibie kama nilisoma vzur walisema wamechanganya vyote. Hongeren kwa wote Nimependa ata yakiwashinda mnasemaIla naona mnaitafsiri tofauti, articles nyingi zinasema NoFap ni kitendo cha kuacha mastrurbation na kutazama porn.
Mkuu umewezaje?Nipo mwezi wa Tano[emoji120][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Tunaendelea kuvitafuta vyeo tu huku japo Hali ni ngumuNaomba niwajibie kama nilisoma vzur walisema wamechanganya vyote. Hongeren kwa wote Nimependa ata yakiwashinda mnasema