Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Knowledge is powerful, watu hawasomagi vitu wamebaki kubisha bora umeweka mambo muhimu hapa, umeongea vyema sana ulipomuingiiza Mungu, post za juu kabisa niliweka mkazo kuwa fanya hii kama unafanya mfungo itakusaidia kupunguza mangono yasiyo na mantiki, umejaza nyama vizuri hujaacha neno mkuu
 
Hii nzuri Sana kiongozi,unapata Afya ya kimwili,kiakili na kiroho,Naongeza hizi hata Mimi.
 
Imekaa njemaa sana, mimi leo na siku ya pili, target nimalize week kwanza.
 
Sasa kiongozi mbona unawaangusha wenzako [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaona sehemu yyt ambayo inaonesha faida kuwa utapata afya ya akili, if so sihitaji kufanya hivyo nisije run crazy kwa challenge zisizo na msingi!!!
 
Imekaa njemaa sana, mimi leo na siku ya pili, target nimalize week kwanza.
Karibu sana tulisongeshe mzeebaba. Mimi nina malengo ya muda mrefu kidogo... Target yangu ni miezi sita kwanza nikiimaliza hiyo najua nitakua legend tayari.. kisha naunga tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…