Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No fap itakufaaIron will kwa app store inaleta uzinguzi mwingi sana hakuna app mbadala ya kuhesabia siku
Knowledge is powerful, watu hawasomagi vitu wamebaki kubisha bora umeweka mambo muhimu hapa, umeongea vyema sana ulipomuingiiza Mungu, post za juu kabisa niliweka mkazo kuwa fanya hii kama unafanya mfungo itakusaidia kupunguza mangono yasiyo na mantiki, umejaza nyama vizuri hujaacha neno mkuuWatu watafikiri unatania ila faida zitaongezeka mtu akitaka kujua faida za nofap au semen retention aende youtube ndo mtu ataelewa pia hata sperms huwa zinatumiwa na mwili unakuwa na nguvu na akili nyingiiii hata misuli hukua
Mike tyson alifanya nofap/semen retention kwa miaka mitano matokeo yake alikuwa anawachakaza tu mabondia wenzake
Lamwisho nililoliona mimi kwangu michongo inakuja yenyew inafunguka tu[emoji1][emoji1]
Chamwisho ni kwamba Mungu kuagiza watu wasishiriki uasherati alikuwa na maan kubwa ila shetani anatumia vishawishi hasa ngono ili tuangamie vijana kwanza ni dhambi pia huwez kuwa smart
Watu watakuion unafuraha kumbe una act maisha yako unayajua mwenyew
Pia mihadarati maana hivi vyote hufanya mwili utoe homoni ya dopamine ambapo mwisho wa siku unakuwa huna uwezo wa kufanya maamuzi kila siku unaahirisha mambo huna concetration, unakuwa na mawazo kuhusu wewe binafsi unajilaumu kwa kuangalia porn huku ukiahidi kesho huangalii na unarudia
Hii kitu inahitaji pia uombe saaana na sambaba na hilo Nofap pia inaambatana na kupunguza matumizi ya pombe na sigara na mwisho unaviacha vyote maana vyote vinaharibu dopamine hormone na kuna success stories youtube watu wameweza pia wote walioweza naona wanafanikiwa saaana kiuchumi hata mahusiano na familia yanakuwa bora zaidi na kuwa na mvuto
Sasa kama unavuta sigara na kunywa pombe na unafanya nofap bora uache tu maana unapaswa mtu uelewe lengo kwanz ujitoe kweny hayo mavitu
Chamwisho tena[emoji1][emoji1] ukianza hii kitu pia utapoteza marafiki na hawa utakaowapotez ni wale marafiki mizigo, watu wa club wanaospend money bila kujua maana ya kusave
Oyaaaaaaaaaa weeeeeeeeeee someni kuhusu nofap na semen retention n muingie mjioneeee3e
Na kwa wale wazee wa kamoja ukifika miezi 6 wewe unarud ujanani kwenye kuchakata pia kumbuka lazima nofap iendane na mazoezi pia. Kuwa na mtu wa kufanya nae tizi (accountability partner)
Karibu Tena kilingeni mkuu.hujachelewa,Anza Sasa.Wakuu mnisamehe tafadhali. Jana nilikuwa nafikisha siku ya 14. Nikaharibuc. Week mbili kwangu siyo mbaya ni mafanikio makubwa kiasi.
Naomba mnipokee tena wajameni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hii nzuri Sana kiongozi,unapata Afya ya kimwili,kiakili na kiroho,Naongeza hizi hata Mimi.Hata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;
*Kuwa siriaz na ibada(Maombi)
*Mazoezi kwa ratiba maalum(mpk You2be niliserch)
*Vitabu mbalimbal
*Kuachana na miziki na movies za hovyo
*Kupunguza mda kukaa na kuwaepuka watu wenye kuwaza ngono na upuuzi muda mwingi
*Kufuatilia vitu vya maana mitandaoni
*Nk
Imekaa njemaa sana, mimi leo na siku ya pili, target nimalize week kwanza.Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2259037
Sasa kiongozi mbona unawaangusha wenzako [emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake bana sijui vipi... mimi jana kuna demu mmoja jirani yangu na huwa hatunaga mazoea nae kihiiivyo sasa juzi kwenye mechi ya simba na yanga akasema mpaka akaangalie huko barabarani ni mbali hivyo akaomba aangalizie kwangu...me nikamwambia karibu.a. akaja tunacheki gemu weee sasa kipindi cha pili kimeanza nashangaa mtu anaanza kukaa vibaya vibaya anatanua tanua miguu huku anaichezesha chezesha hivi, nikaanza kumzingua zungua pale mara kakubali nikapiga kimoja. nikamwambia usiku aje alale kwangu nikaitandika ku..ma balaa. Kanuharibia chalenge yangu asee.
Hapa nimeona nianze rasmi tarehe moja mwezi wa sita.
[emoji23][emoji23] poleni sanaNimekikuta nachakata mbususu jana usiku lkn nofap siachi,nyeto na porn zinisubiri Kwanza
Sijaona sehemu yyt ambayo inaonesha faida kuwa utapata afya ya akili, if so sihitaji kufanya hivyo nisije run crazy kwa challenge zisizo na msingi!!!Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2259037
Karibu sana tulisongeshe mzeebaba. Mimi nina malengo ya muda mrefu kidogo... Target yangu ni miezi sita kwanza nikiimaliza hiyo najua nitakua legend tayari.. kisha naunga tena..Imekaa njemaa sana, mimi leo na siku ya pili, target nimalize week kwanza.