Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hii challenge nitafika malengo ila kwa msaada wako ujue, unaujua nimeamua japo hata mwezi nitoboe malengo ya mwezi, basii ili niwe commando, we njoo unipe moyo basi
Nisubiri dk chache. Alafu hii kitu nilijua ni kwa walio single tu mtu kama una mke inakuaje sasa mke naye anakua likizo au??
 
Nisubiri dk chache. Alafu hii kitu nilijua ni kwa walio single tu mtu kama una mke inakuaje sasa mke naye anakua likizo au??
Wanandoa wengi hawanyundani sana kama tunavyofikiri, ndiyo maana unakuta wana michepuko sana,, wanandoa wanapeana wakiwa tu na furaha, ila shetani akiwapitia wanaweza kushinda hata mwezi wasinyundane,
 
Duh! Mwezi bila bila aisee labda nikifika huko ndio nitaelewa ila siez muangalia tu jamaa week nzima ndio ikawe mwezi [emoji2][emoji2]
 
Duh! Mwezi bila bila aisee labda nikifika huko ndio nitaelewa ila siez muangalia tu jamaa week nzima ndio ikawe mwezi [emoji2][emoji2]
Ukiingia kwenye ndoa uje upitie hiyo comment hapo hata ikiwa miaka 10, utaelewa tu[emoji23][emoji23]
 
Ukiingia kwenye ndoa uje upitie hiyo comment hapo hata ikiwa miaka 10, utaelewa tu[emoji23][emoji23]
Ila ulichosema nakielewa, kuna kuzoeana pia plus majukumu inafika muda hata hamu inakata. Nakuelewa ila tu sija'experience hiyo kitu.
 
Ila ulichosema nakielewa, kuna kuzoeana pia plus majukumu inafika muda hata hamu inakata. Nakuelewa ila tu sija'experience hiyo kitu.
Sawa sawa upo vizuri, inaonyesha una vitu vingi vya kushare ngoja nisubiri
 
Hii NoFap challenge ni kwa ajili ya wenye uhakika Milo mitatu kwa siku, ukiwa huna uhakika wa Milo mitatu hata mbususu yenyew huwezi ipata frequently
 
Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.

Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu uko jirani na chuo flani hivi hapa town nikaagiza msosi mara wakaja madem flani wa mjini wale wanaojionaga top in town.
Walivyoingia hawakusalimia mtu hata mmoja ila wadau mule ndani wakaanza kuwashobokea kwa salamu kibao mixa kuwachekea chekea mimi nimecool tu sina habari na mtu tena mmoja akaja kukaa karibu yangu bila kusalimia namimi sikumsemesha mpaka naondoka pale nikamuaga mchizi kisha mimi yuleeee nikapotea.

Naona kitendo nilichofanya yule demu hakuamini alijiona yeye ni mzuri na wakushobokewa na kila mwanaume.

Sasa jana yule mshkaji wangu akanipigia anasema nilivyoondoka pale wale madem wakaanza kunisema eti huyu kaka alietoka anaonekana anadharau hata sijui anaringia nini.

Mimi nikacheka saaana hahahahah.
Hiyo ndio dawa yao kenge hao
 
Kuna kipindi nilikuwa nakaha miez sita bila kuchakata papuchi ila sas HV nikivuka mwez tu au wik tatu bas nafurahi balaa
 
Back
Top Bottom