Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nikushauri tu puli/nyeto ina madhara makubwa sana baadae, punguza au acha kabisa
 
Ningetoa elimu ya kutosha na faida na namna ya kukabiliana na hii adiiction ila hapa haitoshi ndomaana wazungu wanatumia telegram kusaidiana mpaka wanaacha watu msidhani kuangalia porn na kupiga nyeto ni sifa hii kitu mbaya saaana afu hivi baada ya kuangalia porn unapataje ujasiri wa kuomba Mungu akufanikishie michongo yako[emoji1][emoji1][emoji1]

Au mtu anaomba Mungu abariki kazi ya mikono yake wakat mikono inapiga nyeto sasa sijui nini kibarikiwe au mimba itokee kiganjani ndo mibaraka mtu anataka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Safi sana kuacha kuangalia porn na kupiga puli ni changamoto ila jitahidi mdogo mdogo utaweza halafu izo video za huo unyama ntazipataje mkuu
 
Huu mchezo mbaya jamani ukishaingia kutoka ni kudra za Mungu tu halafu uwez kupata baraka hata kidogo
 
Kweli tena na hamna kitu kibaya kama dhambi ya kurudiarudia
Afu hii mambo shetani ndo yuko kazini direct yaan mitandao yote ya kijamii inapromote sex matangazo sex yaani uchafu mtupu
Kwakweli kaka yani huu ni mchezo wa kishetanI sana na kuuacha ni ngumu halafu baada ya hapo unaanza kusikitika na kujilaumu halafu pia unakosa confidence
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hiyo umeua man yani unacheki porn then unataka Mungu akubariki [emoji38][emoji38] sema man Mungu ni mwingi wa rehema ingekua hatusamehe hakuna binadamu angefanikiwa, Mungu huwa anatufungilia sana milango ilihali anajua udhaifu wetu
 
Hata mimi tangu jana nimeangalia sana porno. sasa jana nimeangalia nikawa nakaribia kupiga nyeto.,
bahat nzur bando likaisha sasa hivi pia nimeangalia kidg ila nimekuja huku wazo la nyeto limeisha.View attachment 2263312
[emoji1787] [emoji1787] Ukija kwenye haka kauzi unajikuta kama wote tunakuchungulia unachotaka kufanya
 
variety of benefits to semen retention, such as:

Mental

more confidence and self-control

less anxiety and depression

increased motivation

better memory, concentration, and overall cognitive function

Physical

greater vitality

increased muscle growth

thicker hair, deeper voice

improved sperm quality

Spiritual

deeper relationships

stronger life force

better overall happiness



Mkisoma faida ya NoFap hata nyeto hamtazifikilia[emoji1787]
 
Hata mimi tangu jana nimeangalia sana porno. sasa jana nimeangalia nikawa nakaribia kupiga nyeto.,
bahat nzur bando likaisha sasa hivi pia nimeangalia kidg ila nimekuja huku wazo la nyeto limeisha.View attachment 2263312
Ushaharibu we anza upya lengo la no fap ni mtu anaeangalia porn na kufanya masterbation aweze kuondokan na huo ulaibu na set goal kwenda siku 30 kwanza then 90 na hapo umerelapse ila sio mbaya.

Anza upya fanya mazoezi unfollow insta accounts zenye maudhui na picha za kushawish ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…