Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ni hatari ndugu. unajua leo naamka ile asubuhi nikakuta mashine iko winga moja matata sana nikashindwa kuhimili muhemko.
Nikasema wacha nizame xvideos sasa maana nina vpn, Nikacheki porn wee kama lisaa limoja hivi nikasema sasa wacha nijilipue na puli moja safi kabisa kwajili ya kujipongeza kwa kukaa wiki mbili bila kupiga puli, kucheki porn wala kumwaga mbegu kokote. Ile nataka kupiga tu puli nikajiuliza sana kwamba huu utakuwa ni ujinga wa aina gani sasa? Nilijiapiza mwenyewe kwamba naanza hii chalenge na hatimae nikatimiza wiki mbili alafu leo kirahisi rahisi tu nijichafue? Ikanibidi nikaangalie video za machinjachija sasa wale wa bokoharam ili zinikate muhemko na nikafanikiwa duuh. Ila naendelea kukazaa.

Vipi kwa kucheki porn leo kwa bahat mbaya nitakuwa nimeharibu au kutoka nje ya mstari????

Sirudii tena asee namuomba sana Mungu shetani wa porn na puli anipitie mbali kabisa yani. Ni addiction moja mbaya sana.
Nikushauri tu puli/nyeto ina madhara makubwa sana baadae, punguza au acha kabisa
 
Ningetoa elimu ya kutosha na faida na namna ya kukabiliana na hii adiiction ila hapa haitoshi ndomaana wazungu wanatumia telegram kusaidiana mpaka wanaacha watu msidhani kuangalia porn na kupiga nyeto ni sifa hii kitu mbaya saaana afu hivi baada ya kuangalia porn unapataje ujasiri wa kuomba Mungu akufanikishie michongo yako[emoji1][emoji1][emoji1]

Au mtu anaomba Mungu abariki kazi ya mikono yake wakat mikono inapiga nyeto sasa sijui nini kibarikiwe au mimba itokee kiganjani ndo mibaraka mtu anataka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Na sirudii tena.

Unajua hii chalenge ndiyo imenifanya nijoin JamiiForum rasmi coz kwa muda flani uliopita nilikua naisoma kama guest ingawa toka nianze chalenge ni wiki ya pili saizi na leo yani ilibaki kidogo tu nipige puli ila nina video kadhaa za bokoharam huko nigeria wanachinja watu live mtu anakatwa kichwa mpaka kinatoka chote kabisa (Tanzania nchi ya amani sana, omba
Safi sana kuacha kuangalia porn na kupiga puli ni changamoto ila jitahidi mdogo mdogo utaweza halafu izo video za huo unyama ntazipataje mkuu
 
Ningetoa elimu ya kutosha na faida na namna ya kukabiliana na hii adiiction ila hapa haitoshi ndomaana wazungu wanatumia telegram kusaidiana mpaka wanaacha watu msidhani kuangalia porn na kupiga nyeto ni sifa hii kitu mbaya saaana afu hivi baada ya kuangalia porn unapataje ujasiri wa kuomba Mungu akufanikishie michongo yako[emoji1][emoji1][emoji1]

Au mtu anaomba Mungu abariki kazi ya mikono yake wakat mikono inapiga nyeto sasa sijui nini kibarikiwe au mimba itokee kiganjani ndo mibaraka mtu anataka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Huu mchezo mbaya jamani ukishaingia kutoka ni kudra za Mungu tu halafu uwez kupata baraka hata kidogo
 
Kweli tena na hamna kitu kibaya kama dhambi ya kurudiarudia
Afu hii mambo shetani ndo yuko kazini direct yaan mitandao yote ya kijamii inapromote sex matangazo sex yaani uchafu mtupu
Kwakweli kaka yani huu ni mchezo wa kishetanI sana na kuuacha ni ngumu halafu baada ya hapo unaanza kusikitika na kujilaumu halafu pia unakosa confidence
 
Ningetoa elimu ya kutosha na faida na namna ya kukabiliana na hii adiiction ila hapa haitoshi ndomaana wazungu wanatumia telegram kusaidiana mpaka wanaacha watu msidhani kuangalia porn na kupiga nyeto ni sifa hii kitu mbaya saaana afu hivi baada ya kuangalia porn unapataje ujasiri wa kuomba Mungu akufanikishie michongo yako[emoji1][emoji1][emoji1]

Au mtu anaomba Mungu abariki kazi ya mikono yake wakat mikono inapiga nyeto sasa sijui nini kibarikiwe au mimba itokee kiganjani ndo mibaraka mtu anataka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hiyo umeua man yani unacheki porn then unataka Mungu akubariki [emoji38][emoji38] sema man Mungu ni mwingi wa rehema ingekua hatusamehe hakuna binadamu angefanikiwa, Mungu huwa anatufungilia sana milango ilihali anajua udhaifu wetu
 
Hata mimi tangu jana nimeangalia sana porno. sasa jana nimeangalia nikawa nakaribia kupiga nyeto.,
bahat nzur bando likaisha sasa hivi pia nimeangalia kidg ila nimekuja huku wazo la nyeto limeisha.
Screenshot_20220617_004619.jpg
 
Hata mimi tangu jana nimeangalia sana porno. sasa jana nimeangalia nikawa nakaribia kupiga nyeto.,
bahat nzur bando likaisha sasa hivi pia nimeangalia kidg ila nimekuja huku wazo la nyeto limeisha.View attachment 2263312
[emoji1787] [emoji1787] Ukija kwenye haka kauzi unajikuta kama wote tunakuchungulia unachotaka kufanya
 
variety of benefits to semen retention, such as:

Mental

more confidence and self-control

less anxiety and depression

increased motivation

better memory, concentration, and overall cognitive function

Physical

greater vitality

increased muscle growth

thicker hair, deeper voice

improved sperm quality

Spiritual

deeper relationships

stronger life force

better overall happiness

Mkisoma faida ya NoFap hata nyeto hamtazifikilia[emoji1787]
 
Hata mimi tangu jana nimeangalia sana porno. sasa jana nimeangalia nikawa nakaribia kupiga nyeto.,
bahat nzur bando likaisha sasa hivi pia nimeangalia kidg ila nimekuja huku wazo la nyeto limeisha.View attachment 2263312
Ushaharibu we anza upya lengo la no fap ni mtu anaeangalia porn na kufanya masterbation aweze kuondokan na huo ulaibu na set goal kwenda siku 30 kwanza then 90 na hapo umerelapse ila sio mbaya.

Anza upya fanya mazoezi unfollow insta accounts zenye maudhui na picha za kushawish ngono
 
Back
Top Bottom