Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Naielewa hiyo origin theory lakini nikuulize tu kweli twiga alikua na shingo fupi tuwaze ki logic tu maana hata hizo theory zimekua develop na watu tu kama wewe tho kwakua ni mzungu ndiyo kaleta hizo hoja basi utamuamini [emoji817] [emoji817] [emoji817] moja kwa moja, wale waliofanya research na wakaja na hizo findings bado hakuna uhalisia sana maana hatujui awali wanyama hao Waliluaje hakuna alieona kwa video au picha, kua ni kweli twiga awali alikua na shingo fupi hebu lete picha inayoonyesha twiga alikua ana shingo fupi, pia kuna sababu kwa mbuni kwa uzito wa umbo lake ndiyo akawa hawezi kuruka kwa umbali mrefu so ni watu walikaa chini wakawaza tu hichi kitu kipo hivi basi sababu ilikua ni hivi kikawa hivi,

So kwenye hii challenges naona hujapitia video YouTube ni watafiti hao hao uliowaamini kwenye theory ya origin hao hao wazungu ndiyo wameelezea benefits ya challenge hii, sasa nikuulize unataka kuniambia mtu kutosex kwa muda mrefu sex organ yake itapotea
 
Kwahiyo unataka kuniambia mapadri ni wameshakua weak?
Mkuu amini kuwa always practice make perfect....


Hao mapadra huwa wanapiga mashine kwa kificho usijekujidanganya kuwa hawafanyi mapenzi .,...

Hizo sehemu mnazoenda kuzidumaza bila kufanya kazi inayostahili ,basi mnaenda kuwa weak and functionless ...

Mambo ya kusema utarudi utotoni ni uongo ....

Hivi mnajua Kuna kikomoo cha ukuaji ,Kuna umri ukifika huwezi kurefuka Tena ,kuota meno Tena ,Sasa sijui mnajitoa akili namna gani .....

Tumieni hizo organ ziendelee kuwa strong , mambo ya kukaaa mda mrefu bila kufanya mapenzi basi unazoofisha nyeti zako ....

Over
 
Sio kupotea tu inakuwa weak and useless ....

Ni sawa saa hiz mtu akae kiboya boya ,hafanyi mazoezi ,ni kula na kulala ,kunenepeana na mavyakula ...harafu umunyanyue gafla ashiriki mbio za kukimbia kilometer 100 ......wakati hajawahi kimbia hata mita 500 Kwa siku
 
Juzi ile asubuhi nikawa naota nataka kuchakata Mbususu ile foreplay nini inaendelea nataka niweke tu... nashtuka simu inaita

Nilikasirika Mbaya, i’m not supposed to have sex kwenye real life na hata Kwenye dreams pia nakatishwa[emoji26]
Watetezi wa ngono takatifu wako wapi? Yani mpwa ananyimwa hata ngono za watawa kweli!
 
Satanic agent kwenye ubora wako kuhalalisha uzinzi watu wapoteze energy

Kwanini watu wanatengenezwa kufikiria ngono au kufanya ngono kila siku

Social networks zote zinapromote ngono ushajiuliza why?

Na kwanini wanawatengeneza wanaume feminist kama wewe na wanatengeneza masculine women?

Kwanini saiv wanaume baadhi yetu hawana confidence ila wanawake wa kileo wana confidence?

Acha ujinga dogo soma vizur elewa mambo sio nadharia za kitoto na kijinga unaleta yaani ujumbe wa sauti ndo ungekusaidia ila kuandika hivi haitoshi ila jitafakarii
 
Kama huwezi kujizuia ngono inakuendesha basi bado jitafakari

Mfumo umetengeneza watu kila wanapopata hamu basi warelease semen zao kumbuka hiyo ndo energy yako mwanaume hiyo ni life force

Mwanaume una uwezo wa kuleta kiumbe kingine kwahiyo jithamini
Tafuta elimu kuhusu haya mambo kwanini shetan anadeal na watu wafanye ngono saana na kutumia mihadarati ya aina yooote kwanini??????

Hapa ni mada pana lakini blessings sahau ukiwa unafanya ujinga
Soma kuhusu dopamine hormone pia utaelewa madhara unayoyapata ikiathirika kupitia porn,musterbation,sex(orgasm)

Pia kuna mambo mengine spiritually

Jifunze asee tafuta maarifa YouTube pia downloa vitabu usome

Wewe ndo wale upo
Jamiiforums, insta, Facebook, Telegram, Whatsapp, snap chat, TikTok na YouTube na bado huko kote kuna promote ngono mwanzo mwisho sasa sidhani kama unaweza kucontrol hivyo vyote maana ushazama huko huoni kam sex ni kitu cha ajabu mshaona ni sehem ya maisha mnarelease ovyoovyo tu kwa nyeto na ngono

Kijana amka kamilisha ndoto zako kama k inakucontrol basi jua we ni weak saaaana
 
Jinsi kichwa chake kilivyo kwa madini haya ni sawa na kumuonea tu , huyo anashinda majukwaa ya football ukimkuta anachangie nyuzi kwenye mada zinazohitaji uelewa moana huwa anapost ugoro tu .
 
Duh! kwa asilimia kadhaa nakubaliana na wewe
Unajua Succubus?
 
Hii app inaitwa Rewire community, huku wadau wanapeana challenge ya kuacha kuamgalia porno na kupiga nyeto na kufanya semen retention.

Na mimi nipo kwenye hii community ninajikongoka km hivyo hapo juu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…