MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
23 days,
Foward we go [emoji1491]
24 days,
Nataka kutoboa 30 kwa uweza wa Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
23 days,
Foward we go [emoji1491]
Kumbe Una advantage ni tall dark.... Kuna kina Sisi huku wenye fufi 5.7 tunapata tabu balaa wala hatupapatikiwi na ndiyo maama tumeamua kuwalia ngumu mazima sasa. Wanasema aawe Nani awe na kale kijamaa kafupi wakati huo huo huyo demu anaekwambia hivyo yeye ana futi 4.6
Hata mkipata umeme wote na mke wako jua utawahimuacha..nina shuhuda kadhaaUsijitese mzee baba jipe raha.... ila hizi raha sio nzuri maana wanabaki wao tena kwa muda mrefu tu ila sisi ndiyo tunakwenda chini ya udongo mapema. Babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii na ameshasahau kama aliwahi kuwa na mume na hiyo ni upande wa baba tu, kwa upande wa mama babu alikufa mwaka 1988 ila bibi yupo mpaka leo hii.
Me ukitaka nisiwe na akili niwe na ny**ge tu...nakuwa kama tahira naanza txt watu ovyo kutafuta mtelezo ila nikijilipua kamoko nakuwa mpya akili inakaa sawa 😋😋Mabadiliko ni makubwa Sana.
Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.
Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.
-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.
-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.
-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.
-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu
✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.
Na scan kbsà umeongea factsHakika wewe umewahi kufanya hili zoezi.
Moja kati ya faida kuu za kutunza shahawa ni kuongezeka mvuto.
Ukikaa kwanzia mwezi na kuendelea bila kumwaga shahawa utaona jinsi watu wake kwa waume watakavyovutiwa na wewe.
Kwanza ngozi inang'aa na kumulika tokea mbali(skin glowing) bila kupaka chochote.
Tabia za kiume zinaongezeka mf. Sauti kuwa nzito, misuli kuimarika, ndevu na nywele zitastawi, kuongezeka kimo cha mwili, mabega yanainuka kutengeneza square n.k.(Testosterone inaongezeka kwenye damu)
Watu wachache wanafahamu hili zoezi, chunguza wanasiasa kipindi cha kampeni, viongozi wa dini, wanamichezo, hawa watu hutunza shahawa wanapokuwa kwenye nyakati muhimu.
Kama kuna Me anayesumbuka kupata Ke namshauri atunze shahawa kwa walau mwezi moja then utaona jinsi wanawake watakavyojilengesha hata kama huna habari nao watakuchokoza tu.
Kingine unakuwa na kismati, mtu wa bahati nzuri.
Mwanaume akielezwa faida za hii kitu hatoweza kuelewa kwa undani, urahisi ni ku practice kwa walau mwezi na kujionea mwenyewe.
24 days,
Nataka kutoboa 30 kwa uweza wa Mungu.
Umeongea point kubwa sana , post yako hii inapaswa kuwekewa lamination na kubandikwa ukutani.Asilimia zaidi ya 60 ya walioanza hii challenge nina uhakika mpaka leo hii tayari wame RELAPSE...kubali kataa huo ndio ukweli.
Huwezi kuachana na addiction yoyote iwe pombe, sigara, porn etc..kwa njia ambayo mnatumia,.... willpower inaenda inaisha siku baada ya siku... that's why New year resolutions hazifanyi kazi.
Waulize watu waliotumia madawa ya kulevya au waliokaa kwenye sober house watakuambia.
Njia sahihi ya kuacha addiction ni kujijua mwenyewe nini kimekupeleka huko kwenye addiction, na kuamua kuacha hicho kitu kwasababu hakiendani na maisha unayoyataka, hii inabidi itoke NDANI kabisa ya MOYO na AKILI,(unaacha kwasababu unaona havina umuhimu katika maisha yako) ukifanya hivyo hata ukiona porn inaonyeshwa mbele yako au picha ya kusisimua huwezi kufanya masterbation sababu sio kitu moyo na akili yako inataka na wala huwezi kutamani utaona kawaida...
...usitake kuacha addiction kwaajili ya kupata REWARD fulani mfano,kupata confidence,kunenepa,kuongeza nguvu za kiume,kufikisha siku 90 etc..hizo ni faida baada ya kuamua kuacha zinatakiwa ZISIWE sababu za kuacha,..tafuta kwanza kiini cha tatizo,laa sivyo hiyo reward ikiondoka au usipofanikiwa kuifikia there you go.... una RELAPSE,unatafuta reward nyingine na mzunguko unarudi pale pale....
Wataalamu wanasema kujua MADHARA ya kitu haisadii katika kuacha addiction yake...kila mtu anajua madhara ya sigara na pombe na bado watu wanatumia, jiulize kwanini bado wanatumia?? Kuna SABABU, kama Stress,upweke,etc kwanini una stress au upweke??...hiyo sababu ndiyo inatakiwa kuondoka ili kuacha hiyo addiction... ITAFUTE.....Think [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Good pointAsilimia zaidi ya 60 ya walioanza hii challenge nina uhakika mpaka leo hii tayari wame RELAPSE...kubali kataa huo ndio ukweli.
Huwezi kuachana na addiction yoyote iwe pombe, sigara, porn etc..kwa njia ambayo mnatumia,.... willpower inaenda inaisha siku baada ya siku... that's why New year resolutions hazifanyi kazi.
Waulize watu waliotumia madawa ya kulevya au waliokaa kwenye sober house watakuambia.
Njia sahihi ya kuacha addiction ni kujijua mwenyewe nini kimekupeleka huko kwenye addiction, na kuamua kuacha au kutafuta solution ya hicho kitu kwasababu unaona kwa sasa hakiendani na maisha unayoyataka, hii inabidi itoke NDANI kabisa ya MOYO na AKILI,(unaacha kwasababu unaona havina umuhimu katika maisha yako) ukifanya hivyo hata ukiona porn inaonyeshwa mbele yako au picha ya kusisimua huwezi kufanya masterbation sababu sio kitu moyo na akili yako inataka na wala huwezi kutamani utaona kawaida...
...usitake kuacha addiction kwaajili ya kupata REWARD fulani mfano,kupata confidence,kunenepa,kuongeza nguvu za kiume,kufikisha siku 90 etc..hizo ni faida baada ya kuamua kuacha zinatakiwa ZISIWE sababu za kuacha,..tafuta kwanza kiini cha tatizo,laa sivyo hiyo reward ikiondoka au usipofanikiwa kuifikia there you go.... una RELAPSE,unatafuta reward nyingine na mzunguko unarudi pale pale....
Wataalamu wanasema kujua MADHARA ya kitu haisadii katika kuacha addiction yake...kila mtu anajua madhara ya sigara na pombe na bado watu wanatumia, jiulize kwanini bado wanatumia?? Kuna SABABU, kama Stress,upweke,etc kwanini una stress au upweke??...hiyo sababu ndiyo inatakiwa kuondoka ili kuacha hiyo addiction... ITAFUTE.....Think [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Shukrani mkuu, hilo ndio jambo la kuzingatiaUmeongea point kubwa sana , post yako hii inapaswa kuwekewa lamination na kubandikwa ukutani.
Tuko pamoja MkuuGood point
Nasocialize na watu wangu wa porini huku Kaka. Tuko wengi kiasi hapa ninapofanyia kazi.Kila siku asubuhi mpak usiku Sasa unapata wapi mda wa kusocialize ? Si changamoto hiyo tena
Aah sawaNasocialize na watu wangu wa porini huku Kaka. Tuko wengi kiasi hapa ninapofanyia kazi.