MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachangamoto sanaHii kitu ni ngumu kwakweli.
Everything is possibleInachangamoto sana
Everything is possibleView attachment 2276568
Wakati mwingine ukisema uende mwenyewe utafeli inabidi umtangulize Mwenyezi Mungu kwanza kwa kila jambo na hatua hata kutoa sadaka kidogo hata kuwapa watoto vipipi kwa kupiga hatua kama Shukrani .
Mimi nilianza kibishi nikatoboa miezi kama sita hivi basi nikajiona bonge la mwamba kibri kikawa juu nikajiona shetani haniwezi tena na hakuna mahala nitakapokamatika maana nina upiga mwingi.
Kuna siku mdau wangu nilimuazima simu yangu alitumia baada ya muda akanirejeshea , sasa nipo ghetto nimeingia upande wa video nikaona kitu kigeni nikajiuliza ni nini ngoja nikaclick chap ikaja porno kumbe mchizi alikuwa anachrki Moja alidownload na akasahau kuifuta dah! shatani alinizidi nguvu na arosto ilikuwa kubwa basi kulikuwa na wese pembeni nikasema ngoja nijiongeze chap maana siwezi kuwatch bila kustua .
Siku hiyo nilipiga hiyo kitu kwa ufanisi mkubwa sijawahi kupiga masterbation ya kiwango cha Fifa tokea nizaliwe kama ya kiwango kile wazungu wazito kama wamelamba asali. Baada ya kumaliza nilijuta kinyama jitihada zangu za miezi 6 kukatika kwa muda mfupi nilijiona bonge la boya nikamlani mchizi ile mbaya nikajipa moyo nikasema kujilaumu hakutosaidia ngoja nianze kweli kwa vile wiki ijayo ni mwezi wa Ramadhani unaandika tarehe ramsi ya kuanza na natubu kila kitu pamoja na kumtangiliza Mungu na dua nyingi ile mentality ya kujikweza mimi mwamba nikaitoa kauli yangu ikawa"Hakuna uwezo wa kuepuka maovu wala nguvu ya kufanya mema isipokuwa kupita Mwenyezi Mungu muwezawa yote" pamoja na hilo mimi mwenyewe nikajiwekea mikakati madhubuti ya kutoboa.
Tokea hapo mpk sasa nakaribia mwaka wa tatu hali hii nimeizoea kabisa na faida naziona muda si mrefu nakaribia kuvuta jiko.
Unaweza mkuuUnafanyaje ndg yangu Mbona unaondoka sana dah [emoji1430].
Nimeamua kuongeza na vitu vingine
1. Inakuwa Nofap+ semen retention
2. Kukua spiritually
3. Mazoezi pamoja na
4. Kusoma vitabu
Nikifanya hivi Miezi mitatu nakuwa sio mimi tena
Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyoMiaka mitatu [emoji15][emoji15]
Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyoView attachment 2276711
Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimmk
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa MkuuYah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyoView attachment 2276711
Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimu..View attachment 2276715
Nilikuwa siriaz vibaya mno nikavunja mpk line zangu za simu ninazotumia sana na nikachukua namba muhimu nikasajili mpya ili nisizipate namba zao na wasinipate kabisa wale mademu niliokuwa nikichat nao na kuwa nao karibu kwa kuona kuna asilimia kubwa ya kuniharibia mikakati yangu vilevile ikasaidia kupunguza marafiki ambao hawanifai .Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Nitumie izo video mzee pmNa sirudii tena.
Unajua hii chalenge ndiyo imenifanya nijoin JamiiForum rasmi coz kwa muda flani uliopita nilikua naisoma kama guest ingawa toka nianze chalenge ni wiki ya pili saizi na leo yani ilibaki kidogo tu nipige puli ila nina video kadhaa za bokoharam huko nigeria wanachinja watu live mtu anakatwa kichwa mpaka kinatoka chote kabisa (Tanzania nchi ya amani sana, omba usikutane na wale watu duuuh!!!!).
Kuna mama mmoja yuko hapo wenzie wemechinjwa wote wamewekwa pembeni hapo huku akiona yeye akawa wa mwisho wakamwambia lala chini mama wawatu akalala naye wakamchinja vilevile kama kuku mazee, sasa nikionaga ile video tu huwa inanihuzunisha balaaa, na nikiona tu napata muhemko kama huo wa nyege nyege fasta naenda kuziangalia zile video na zinanikata stimu kabisaaa, ilikuwa leo asubuhi iyo nikapona kupiga puli kawa njia hiyo nikaleave fasta pornsite kisha nikazifungua zile video za bokoharam zikanikata stimu mazima ndiyo ikawa ponapona hiyo. Ila naamini kuna hatua nimepiga coz zamani ilikuwa nikicheki porn tu lazima nipige nyeto ila leo chalenge imeniokoa mazee, kwangu naamini huo ni mwanzo mzuri wa kuacha kutazama porn.
Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosiHii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Nilikuwa siriaz vibaya mno nikavunja mpk line zangu za simu ninazotumia sana na nikachukua namba muhimu nikasajili mpya ili nisizipate namba zao na wasinipate kabisa wale mademu niliokuwa nikichat nao na kuwa nao karibu kwa kuona kuna asilimia kubwa ya kuniharibia mikakati yangu vilevile ikasai
Japo kuna ugumu maana Tamaa Kuna muda zinawaka Kama MotoHalafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi
Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka. View attachment 2276860
Afe kipa afe refa nataka nipige mwaka mzima. Nataka niwe karibu na Mungu wangu. Kuna mambo ya muhimu sana nataka kuyakamilisha na yanahitaji utulivu wa hali ya juu bila siteresi, gubu na usumbufu. Hela za kusuka nitakuwa natoa na hata huduma zingine lakini kula mbususu hapana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]Kwa style hii tutakosa hela za kusuka [emoji91]
Kumbe Una advantage ni tall dark.... Kuna kina Sisi huku wenye fufi 5.7 tunapata tabu balaa wala hatupapatikiwi na ndiyo maama tumeamua kuwalia ngumu mazima sasa. Wanasema aawe Nani awe na kale kijamaa kafupi wakati huo huo huyo demu anaekwambia hivyo yeye ana futi 4.6Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi
Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka. View attachment 2276860
Hakika wewe umewahi kufanya hili zoezi.Hhhaha sasa subir wapo watataka uwakule kat ya hao madem maana wanavutiwa na mtu asiekuwa na shobo ningeandika apa psychology yao ilivo ila itakuwa kuanzisha uzi juu ya uzi ila elewa ndomaan ukiwa kweny nofap au semen retention kuanzia siku ya 14 warembo unawavutia maana una kuwa na high vibration na hata watu wasiokujua wanakutreat good pia confidence yako ndo unakuta inashangaza watu na kuwavutia pia eye contact