Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Inachangamoto sana
Everything is possible
Screenshot_20220629-174929.jpg
 
Wakati mwingine ukisema uende mwenyewe utafeli inabidi umtangulize Mwenyezi Mungu kwanza kwa kila jambo na hatua hata kutoa sadaka kidogo hata kuwapa watoto vipipi kwa kupiga hatua kama Shukrani .

Mimi nilianza kibishi nikatoboa miezi kama sita hivi basi nikajiona bonge la mwamba kibri kikawa juu nikajiona shetani haniwezi tena na hakuna mahala nitakapokamatika maana nina upiga mwingi.

Kuna siku mdau wangu nilimuazima simu yangu alitumia baada ya muda akanirejeshea , sasa nipo ghetto nimeingia upande wa video nikaona kitu kigeni nikajiuliza ni nini ngoja nikaclick chap ikaja porno kumbe mchizi alikuwa anachrki Moja alidownload na akasahau kuifuta dah! shatani alinizidi nguvu na arosto ilikuwa kubwa basi kulikuwa na wese pembeni nikasema ngoja nijiongeze chap maana siwezi kuwatch bila kustua .

Siku hiyo nilipiga hiyo kitu kwa ufanisi mkubwa sijawahi kupiga masterbation ya kiwango cha Fifa tokea nizaliwe kama ya kiwango kile wazungu wazito kama wamelamba asali. Baada ya kumaliza nilijuta kinyama jitihada zangu za miezi 6 kukatika kwa muda mfupi nilijiona bonge la boya nikamlani mchizi ile mbaya nikajipa moyo nikasema kujilaumu hakutosaidia ngoja nianze kweli kwa vile wiki ijayo ni mwezi wa Ramadhani unaandika tarehe ramsi ya kuanza na natubu kila kitu pamoja na kumtangiliza Mungu na dua nyingi ile mentality ya kujikweza mimi mwamba nikaitoa kauli yangu ikawa"Hakuna uwezo wa kuepuka maovu wala nguvu ya kufanya mema isipokuwa kupita Mwenyezi Mungu muwezawa yote" pamoja na hilo mimi mwenyewe nikajiwekea mikakati madhubuti ya kutoboa.

Tokea hapo mpk sasa nakaribia mwaka wa tatu hali hii nimeizoea kabisa na faida naziona muda si mrefu nakaribia kuvuta jiko.

Miaka mitatu [emoji15][emoji15]
 
Unafanyaje ndg yangu Mbona unaondoka sana dah [emoji1430].

Nimeamua kuongeza na vitu vingine

1. Inakuwa Nofap+ semen retention

2. Kukua spiritually

3. Mazoezi pamoja na

4. Kusoma vitabu

Nikifanya hivi Miezi mitatu nakuwa sio mimi tena
Unaweza mkuu

Sema mimi kitu kinachofanya niwe na discpline ni sina ela na nasubiri mkeka wa depo so naogopa kuchafua damu

Sasa inabidi utafute kitu kitakachokuwa anchor au kitakacho ku drive wewe

Mfano hata dini anza kufatilia mambo ya dini
 
Miaka mitatu [emoji15][emoji15]
Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyo
IMG_20220629_194921.jpg


Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimu..
IMG_20220629_194423.jpg
 
Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyoView attachment 2276711

Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimmk

Yah, mwakani mwezi wa 4 Mwenyezi Mungu akijaalia nitaitimiza mi3 ila wengi hawaamini wanaona kama motivational story ila nilikuwa siriaz nilivyoanza mkakati ulikuwa mwaka mmoja tarehe ya kuanza niliamua niandike kwenye kitabu changu cha kuandika vitu muhimu .Picha hiyoView attachment 2276711

Kiapo kikawa nisipotimiza mwaka nichane na kutupa kitabu kizima chenye mambo na kumbukumbu muhimu..View attachment 2276715
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
 
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Nilikuwa siriaz vibaya mno nikavunja mpk line zangu za simu ninazotumia sana na nikachukua namba muhimu nikasajili mpya ili nisizipate namba zao na wasinipate kabisa wale mademu niliokuwa nikichat nao na kuwa nao karibu kwa kuona kuna asilimia kubwa ya kuniharibia mikakati yangu vilevile ikasaidia kupunguza marafiki ambao hawanifai .

Ikawa kwa mara ya kwanza simu yangu haina namba ya demu hadi sikuamini kila nikitazama contact list yangu yaani ina watu wachache muhimu..
 
Na sirudii tena.

Unajua hii chalenge ndiyo imenifanya nijoin JamiiForum rasmi coz kwa muda flani uliopita nilikua naisoma kama guest ingawa toka nianze chalenge ni wiki ya pili saizi na leo yani ilibaki kidogo tu nipige puli ila nina video kadhaa za bokoharam huko nigeria wanachinja watu live mtu anakatwa kichwa mpaka kinatoka chote kabisa (Tanzania nchi ya amani sana, omba usikutane na wale watu duuuh!!!!).
Kuna mama mmoja yuko hapo wenzie wemechinjwa wote wamewekwa pembeni hapo huku akiona yeye akawa wa mwisho wakamwambia lala chini mama wawatu akalala naye wakamchinja vilevile kama kuku mazee, sasa nikionaga ile video tu huwa inanihuzunisha balaaa, na nikiona tu napata muhemko kama huo wa nyege nyege fasta naenda kuziangalia zile video na zinanikata stimu kabisaaa, ilikuwa leo asubuhi iyo nikapona kupiga puli kawa njia hiyo nikaleave fasta pornsite kisha nikazifungua zile video za bokoharam zikanikata stimu mazima ndiyo ikawa ponapona hiyo. Ila naamini kuna hatua nimepiga coz zamani ilikuwa nikicheki porn tu lazima nipige nyeto ila leo chalenge imeniokoa mazee, kwangu naamini huo ni mwanzo mzuri wa kuacha kutazama porn.
Nitumie izo video mzee pm
 
Hii Ni commitment ya Hali ya Juu Kabisa Mkuu
Umetisha Sana lazima nyayo Zako nifutae
Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi

Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka.
IMG_20220629_211539.jpg
 
Nilikuwa siriaz vibaya mno nikavunja mpk line zangu za simu ninazotumia sana na nikachukua namba muhimu nikasajili mpya ili nisizipate namba zao na wasinipate kabisa wale mademu niliokuwa nikichat nao na kuwa nao karibu kwa kuona kuna asilimia kubwa ya kuniharibia mikakati yangu vilevile ikasai

Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi

Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka. View attachment 2276860
Japo kuna ugumu maana Tamaa Kuna muda zinawaka Kama Moto
Lakini lazima kuchukua uamuzi mgumu
Nimependa njia unazozitumia hasa Hiyo ya kujiadhibu uchane kitabu cha kumbikumbi km hautafika lengo
Mkuu Ni vema Sana uzidi kutupa miongozo mingi kidogo kidogo ili tuvishinde vizingiziti vyote
Punyeto na porn Ni utumwa mbaya Sana Katika maisha najuta kuujua Huu mchezo
Nashukuru nimemaliza mwezi mmoja bila kupiga Wala kucheki porn Kabisa
Nitatoboa Tu najua
 
Kwa style hii tutakosa hela za kusuka [emoji91]
Afe kipa afe refa nataka nipige mwaka mzima. Nataka niwe karibu na Mungu wangu. Kuna mambo ya muhimu sana nataka kuyakamilisha na yanahitaji utulivu wa hali ya juu bila siteresi, gubu na usumbufu. Hela za kusuka nitakuwa natoa na hata huduma zingine lakini kula mbususu hapana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Halafu ukijiweka bize hauna papara pisi zinakuja zenyewe haswa ukiwa tall ,dark and handsome kama mimi hapo wewe ndio unakuwa kama bosi

Yaani mimi nashangaa sana wanaume kupapatikia hovyo wanawake mpk wameshatujua sisi maboya na wameanza kutudharau na kutupelekesha kiboya , ukifocous kwenye mambo yako, kujiimarisha na kutulia zaidi hata waliokupotezea wanaanza kukukumbuka. View attachment 2276860
Kumbe Una advantage ni tall dark.... Kuna kina Sisi huku wenye fufi 5.7 tunapata tabu balaa wala hatupapatikiwi na ndiyo maama tumeamua kuwalia ngumu mazima sasa. Wanasema aawe Nani awe na kale kijamaa kafupi wakati huo huo huyo demu anaekwambia hivyo yeye ana futi 4.6
 
Hhhaha sasa subir wapo watataka uwakule kat ya hao madem maana wanavutiwa na mtu asiekuwa na shobo ningeandika apa psychology yao ilivo ila itakuwa kuanzisha uzi juu ya uzi ila elewa ndomaan ukiwa kweny nofap au semen retention kuanzia siku ya 14 warembo unawavutia maana una kuwa na high vibration na hata watu wasiokujua wanakutreat good pia confidence yako ndo unakuta inashangaza watu na kuwavutia pia eye contact
Hakika wewe umewahi kufanya hili zoezi.
Moja kati ya faida kuu za kutunza shahawa ni kuongezeka mvuto.
Ukikaa kwanzia mwezi na kuendelea bila kumwaga shahawa utaona jinsi watu wake kwa waume watakavyovutiwa na wewe.

Kwanza ngozi inang'aa na kumulika tokea mbali(skin glowing) bila kupaka chochote.
Tabia za kiume zinaongezeka mf. Sauti kuwa nzito, misuli kuimarika, ndevu na nywele zitastawi, kuongezeka kimo cha mwili, mabega yanainuka kutengeneza square n.k.(Testosterone inaongezeka kwenye damu)
Watu wachache wanafahamu hili zoezi, chunguza wanasiasa kipindi cha kampeni, viongozi wa dini, wanamichezo, hawa watu hutunza shahawa wanapokuwa kwenye nyakati muhimu.

Kama kuna Me anayesumbuka kupata Ke namshauri atunze shahawa kwa walau mwezi moja then utaona jinsi wanawake watakavyojilengesha hata kama huna habari nao watakuchokoza tu.
Kingine unakuwa na kismati, mtu wa bahati nzuri.
Mwanaume akielezwa faida za hii kitu hatoweza kuelewa kwa undani, urahisi ni ku practice kwa walau mwezi na kujionea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom