Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Asilimia zaidi ya 60 ya walioanza hii challenge nina uhakika mpaka leo hii tayari wame RELAPSE...kubali kataa huo ndio ukweli.

Huwezi kuachana na addiction yoyote iwe pombe, sigara, porn etc..kwa njia ambayo mnatumia,.... willpower inaenda inaisha siku baada ya siku... that's why New year resolutions hazifanyi kazi.

Waulize watu waliotumia madawa ya kulevya au waliokaa kwenye sober house watakuambia.

Njia sahihi ya kuacha addiction ni kujijua mwenyewe nini kimekupeleka huko kwenye addiction, na kuamua kuacha au kutafuta solution ya hicho kitu kwasababu unaona kwa sasa hakiendani na maisha unayoyataka, hii inabidi itoke NDANI kabisa ya MOYO na AKILI,(unaacha kwasababu unaona havina umuhimu katika maisha yako) ukifanya hivyo hata ukiona porn inaonyeshwa mbele yako au picha ya kusisimua huwezi kufanya masterbation sababu sio kitu moyo na akili yako inataka na wala huwezi kutamani utaona kawaida...

...usitake kuacha addiction kwaajili ya kupata REWARD fulani mfano,kupata confidence,kunenepa,kuongeza nguvu za kiume,kufikisha siku 90 etc..hizo ni faida baada ya kuamua kuacha zinatakiwa ZISIWE sababu za kuacha,..tafuta kwanza kiini cha tatizo,laa sivyo hiyo reward ikiondoka au usipofanikiwa kuifikia there you go.... una RELAPSE,unatafuta reward nyingine na mzunguko unarudi pale pale....

Mtu ambaye yuko addicted hata ukimtajia vifungu vya dini Korani na Biblia,bado huwezi kumsaidia kwasababu nyuma ya pazia kuna sababu iliyomfanya akafika hapo alipo.

Wataalamu wanasema kujua MADHARA ya kitu haisadii katika kuacha addiction yake...kila mtu anajua madhara ya sigara na pombe na bado watu wanatumia, jiulize kwanini bado wanatumia?? Kuna SABABU, kama Stress,upweke,etc kwanini una stress au upweke??...hiyo sababu ndiyo inatakiwa kuondoka ili kuacha hiyo addiction... ITAFUTE.....Think [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Smart
 
.
Screenshot_20220704-152606.jpg
 
Wanangu hii chalenji ngumu ajabu. Jana kidogo nipigwe knockout. Mnafanyeje kubakia ulingoni? Maana kabisa naona adui anarusha makonde mazito ya Tyson cha mtoto yaani hata huruma hana [emoji51][emoji51][emoji51]

Hata hivyo nimedhamiria afe kipa afe refa huu mwezi wa saba lazima nitoboe. Nikishindwa aisee itakuwa failure mbaya sana....
 
Wanangu hii chalenji ngumu ajabu. Jana kidogo nipigwe knockout. Mnafanyeje kubakia ulingoni? Maana kabisa naona adui anarusha makonde mazito ya Tyson cha mtoto yaani hata huruma hana [emoji51][emoji51][emoji51]

Hata hivyo nimedhamiria afe kipa afe refa huu mwezi wa saba lazima nitoboe. Nikishindwa aisee itakuwa failure mbaya sana....
Hongera mkuu jitahid afadhali wewe miez 7 sisi wengine ndo kwanza tumeanza
 
Kweny ulimwengu wa pili binadamu ambaye hashiriki sex,hajichui,huyo ni kama ana improve Kinga yake ya kiroho, si rahisi,kukumbwa na mapepo wachafu,sio rahisi kuchezewa,sio rahisi kupata mikosi,Kam ndio mtu unapenda kupuliza puliza basi Kila mti utakoshika lazima ujibu.

Ina onekanaka Kuna Siri kubwa sana kati ya nguvu za upande wa pili na kutoshiriki mapenzi icho tu ndio kitu nacho jua Mimi na nilifundishwa na Babu yang long time ago
 
Kweny ulimwengu wa pili binadamu ambaye hashiriki sex,hajichui,huyo ni kama ana improve Kinga yake ya kiroho, si rahisi,kukumbwa na mapepo wachafu,sio rahisi kuchezewa,sio rahisi kupata mikosi,Kam ndio mtu unapenda kupuliza puliza basi Kila mti utakoshika lazima ujibu
ina onekanaka Kuna Siri kubwa sana kati ya nguvu za upande wa pili na kutoshiriki mapenzi icho tu ndio kitu nacho jua Mimi na nilifundishwa na Babu yang long time ago

Mshua alikupiga kamba 100% [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom