Ku control uoga huwa natumia mbinu moja inaitwa
Five second rule
Imensaidia kwa kiasi chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku control uoga huwa natumia mbinu moja inaitwa
Five second rule
Imensaidia kwa kiasi chake
Hii ipoje mkuuuKu control uoga huwa natumia mbinu moja inaitwa
Five second rule
Imensaidia kwa kiasi chake
Hii ni njia ya kuondoa hofu ukiwa unataka kufanya jambo huku unaogopa hauchukui mda wa kufikiria sana within five seconds unafanya hilo jambo hausibiri kujiuliza maswali mengi hutoi ile nafasi ya kuji second guessHii ipoje mkuuu
Aisee kweli unawini sijawahi kuiskia hii mkuu hongera sana nimeielewa sanaHii ni njia ya kuondoa hofu ukiwa unataka kufanya jambo huku unaogopa hauchukui mda wa kufikiria sana within five seconds unafanya hilo jambo hausibiri kujiuliza maswali mengi hutoi ile nafasi ya kuji second guess
Hofu na kuwa excited huwa vina condition moja(mapigo ya moyo kwenda mbio au kutetemeka) ukiwa una hofu au uko na hamasa hali huwa zinafanana... unachokifanya ni kugeuza ile hali ya hofu na kujipa moyo kuwa uko na hamasa sana na sio hofu una tricky ubongo wako
Kwahiyo hii inakuwa unatumia kitu kinaitwa anchor thought yaani unafikiria matokeo chanya ya jambo ambalo unaenda kulifanya kabla haujalifanya
Ukiwa unaogopa mapigo ya moyo yanaenda mbio wewe unauambia ubongo kwamba mapigo ya moyo yanaenda mbio kwa sababu niko excited kufanya hili jambo basi ubongo nao uta Translate kuwa wewe uko excited na sio uko muoga
Hii technique huwa inasaidia sana kwenye public speaking kama unaogopa umati, kama unamuogopa boss wako au kama unaogopa mwanamke aliyekuwa out of your league
Aisee kweli unawini sijawahi kuiskia hii mkuu hongera sana nimeielewa sana
Miezi saba?
Hujanisoma vizuri mkuu. Napambania tu huu mwezi wa saba (Julai 2022) aisee. Miezi saba mbona parefu sana?
Hii ni njia ya kuondoa hofu ukiwa unataka kufanya jambo huku unaogopa hauchukui mda wa kufikiria sana within five seconds unafanya hilo jambo hausibiri kujiuliza maswali mengi hutoi ile nafasi ya kuji second guess
Hofu na kuwa excited huwa vina condition moja(mapigo ya moyo kwenda mbio au kutetemeka) ukiwa una hofu au uko na hamasa hali huwa zinafanana... unachokifanya ni kugeuza ile hali ya hofu na kujipa moyo kuwa uko na hamasa sana na sio hofu una tricky ubongo wako
Kwahiyo hii inakuwa unatumia kitu kinaitwa anchor thought yaani unafikiria matokeo chanya ya jambo ambalo unaenda kulifanya kabla haujalifanya
Ukiwa unaogopa mapigo ya moyo yanaenda mbio wewe unauambia ubongo kwamba mapigo ya moyo yanaenda mbio kwa sababu niko excited kufanya hili jambo basi ubongo nao uta Translate kuwa wewe uko excited na sio uko muoga
Hii technique huwa inasaidia sana kwenye public speaking kama unaogopa umati, kama unamuogopa boss wako au kama unaogopa mwanamke aliyekuwa out of your league
32 days,
Mungu ni mwema nyakati zote.
Mwaka wa fedha ndo huu, mwezi wa saba umefika ndugu! [emoji2]Hii challenge nitajaribu mwaka wa fedha wa serikali mwezi wa saba
Kwa sasa hapana
Hongera ✊🏾Nilikuwa naifanya bila kujua jina…
Nilshajiunga kitambo mkuuMwaka wa fedha ndo huu, mwezi wa saba umefika ndugu! [emoji2]
Ndio mana nawambia humu kila siku kuacha Addiction yoyote kwakutumia Willpower haifanyi kazi.Baada ya takribani siku 35 Nimepata relapse moja Kali Sana nikajichukulia Sheria mkononi,
Mwanzo niliamua kuacha porn na puli kwanza Ila sex niendelee na nakumbuka nilisex Kama Mara sita au Saba hivi Basi, baadae nikahamasika nayo niiache, nikaazimia kufanya sperm retention Kabisa na nikaacha rasmi vyote porn, puli na sex.
Faida nilizopata
Kwangu Mimi nilijona Kabisa nimebadilika hata kazi zangu nilifanya kwa bidii na morali na mafaniko makubwa sana tofauti na mwanzo, kujiamini kwangu kuliongezeka sana Tena sana yaani hadi najishangaa mwenyewe, hata nikipishana na mwanamke sijishauri kumgeukia kumuangalia kwa tamaa za kumpigia puli baadae pia nimegundua kuwa Kumbe MTU unaweza Kabisa Kuishi bila kufanya mapenzi kabisa. Hii inawezekana sana maana nimepata muda wa kuusoma mwili wangu.
Kuanguka kwangu kumetokana na
haka ka ujasiri ka kipumbavu. Niliona nimewin najiamini sana aisee Kumbe napotea nikajisahau nikawa naperuzi mitandaoni bila utaratibu mzuri hasa Instagram naingia page zile mbovu mbovu kule nikiamini siwezi rudia maana najiamini sana maana naona hata iweje puli nilishaachana nayo na hainiwezi tena, Kumbe kiburi kinanipoteza sasa majuzi Tu Hapo, nikaingia page moja nikakutana na picha moja ya utata Kabisa shetani akatabasamu na Mimi nami nikamtabasamia akanisihi nijichujulie Sheria mkononi Basi nikamuitikia kwa kumpigia bao moja la mkono aisee sikutosheka nikapiga tena baade Tena nikarudia hadi siku nne mfululizo, nimejilaumu Sana na nimeumia Sana ,nikaona sina maana kabisa jitahada zangu zote zile nimerudia ushetani,nikajikuta roho inaniuma sana kibaya zaidi maumivu makali ya kichwa, magoti, kiuno na uchovu wa mwili wote na hasira muda wote.
Uamuzi niliochukua
Nimeamua nianze upya baada ya kubaini tatizo ambalo Ni kujiachia sana insta kule nimeamua kujipangia saa na wakati wa kuperuzi, Sitaki kujiachia Tena.
Naamini mwenyezi Mungu yupo nami Tena ktk mwanzo mpya.
Kama nikishindwa pia Hapo Basi nimedhamiria Kabisa Kabisa kufuta Instagram Mara moja baada ya kushindwa Tena.
Wajumbe naomba tuungane tena
Hongera pia mnaoendeleza challenge
Ni Kazi Sana Kuishi maisha ambayo hujayazoeaNdio mana nawambia humu kila siku kuacha Addiction yoyote kwakutumia Willpower haifanyi kazi.
34 days.
Tunapasua mawimbi.