Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Safi na hongereni mnaondelea na challenge na poleni kwa mlioanguka usikubali hisia zikuendeshe hovyo sometime hata wanawake wanatudharau sababu hatuwezi ku-controll hisia zetu tumekuwa kama kuku tukisha tamani tu akili inahama.Ukiweza kuzi-controll hisia hakuna mwanamke atakuyumbisha hata mawazo ya ngono ngono maana utakuwa na self-controll.CHALLENGE NJEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2293611
Namuomba mungu angalau ifike 40 days
Mpaka sasa nimeon

1.Body strenth imeongezeka, nilikuwa na tatizo la goti ila naona kama halipo

2. Kasi ya ukuaji nywele.

3.Kujiamini sana,ulaghai wa pisi wa physical appearance haunifanyi ku shake. ( Sicheki cheki na kima).

4.Hisia kuwa mjegejo strength iko high maana kila monie uko harder than before.

5.Wise in decision making.

6.Uchumi unabadilika,saving imeongezeka.

7.Naweza ku control hisia kwa kutoyumbishwa na matamanio ya macho when i remember this challenge.

8.Kama kuna kasi kismart sijui ya ku meet pisi mpya . ( Shetani buana [emoji23] as if amekaa pale ananiambia nikiweza hii challenge nimuite mbwa [emoji23])

Naomba mungu when i reach 30 days nianze na mazoezi rasmi.
Tuombeane.
Safii
 
Nilianza challenge vizuri tu ilivyofika 30 days usiku wake kuna manzi mbovu kinoma akanitumia text ya UMELALA ? aisee ile text niliisi imetoka kwa Beyoncé nilianza kuchat nae kama sexmate wangu adi nayeye akashangaa maana hua namkwepa ata kutembea nae tu barabarani nikasema hii no fab itanifanya nizalishe madem wabovu nikaona isiwe kesi nikajiripua moja heavy ile namaliza lidemu likatuma text kama unais barid nambie nije niitoe nilivyoiyona nikasema WTF [emoji15] nikamjibu tu USIKU MWEMA nais alikuw ameshakolea nime set tena leo ni siku ya 5 lengo ni 60 days tuombeane tu mahana hali ni tete.
 
[emoji16][emoji16] aisee umefika pazuri umeangushwa na kitu kidogo mze
 
Safi na hongereni mnaondelea na challenge na poleni kwa mlioanguka usikubali hisia zikuendeshe hovyo sometime hata wanawake wanatudharau sababu hatuwezi ku-controll hisia zetu tumekuwa kama kuku tukisha tamani tu akili inahama.Ukiweza kuzi-controll hisia hakuna mwanamke atakuyumbisha hata mawazo ya ngono ngono maana utakuwa na self-controll.CHALLENGE NJEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini umeandika kwa uchungu sana hadi nimeona huruma juu yako,
Hebu mfanye muoe
 
Hapana bro me ninaenda mwezi wa 4 kama sio wa 5 sijakutana na mwanamke wala kujichua lakin nilikua napata wet dream mwanzani haswa ule mwezi wa kwanza lakn ninavokwambia ndan ya io miez nimepata wet dream haswa kwa kumbukumbu zangu ni mara mbili

Addition sikuwahi jua kama kuna hii challenge but binafsi niliamua kuacha tu izo habari just kuachana na zinaa na kutochezea ibada zangu ila Alhamdulillah naendelea vizuri na hainisumbui japo kuna wakati napatwa na depression na lolyness hatari ila namshukuru Mungu ananipambania haswa navuka na nimejiwekea sitakuja fanya tena ilo jambo mpaka nikioa yan.....maombi yenu wakuu
Labda uwe ulizaliwa ni towashi
 
Kwan wazee heb nipen faida kuu haswa ya challenge yenu, nijuavy mashine bila mazoez hupoteza ubora.

Out of saving, kila mtu atasave kama akiamua na si lazma challenge.
Mi nashauri msijites wadau haya matund tumeumbiw sis tuyale naamin faid za sex n ming kulik No Fap. Anaekataa nipe faida kuu tatu zisizopingika za challeng hii nami ntajiunga rasm
 
Swali moja tu, je umeoa?
 
Nipo huku tarime, aisee kuna pisi mbovu sijawahi kuona dunia nzima.. Nimeona nijiunge tu na hii challenge na nina wiki sasa, nataka nikomae mwaka mzima mpaka ntakaporudi katika mji niliouzoea.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mzee hii challenge unaweza pata ugwadu adi ukasema hivi kwaninj nisivamie bweni la wasicha la apo jirani [emoji16] usipokua makini unaenda jela live .
Quiting [emoji16][emoji16][emoji16]
 
mwanzo nilikuwa nabishia watu kwamba haiwezekani, nikajaribu mara ya kwanza mwaka 2016. nikaweka ratiba ngumu ya kazi mazoezi na michezo.

nilichogundua ukiweza kuvuka miezi mi 3 hujasex mwili una adapt wenyewe. saivi nikiamua nasex ila nisipoamua nakaa mwaka mzima,

ila sijawahi kuvuka mwaka, ikifika miezi 12 mwisho.
budguy
Pita hapa
 
Back
Top Bottom