Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Safi na hongereni mnaondelea na challenge na poleni kwa mlioanguka usikubali hisia zikuendeshe hovyo sometime hata wanawake wanatudharau sababu hatuwezi ku-controll hisia zetu tumekuwa kama kuku tukisha tamani tu akili inahama.Ukiweza kuzi-controll hisia hakuna mwanamke atakuyumbisha hata mawazo ya ngono ngono maana utakuwa na self-controll.CHALLENGE NJEMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app