Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Safi na hongereni mnaondelea na challenge na poleni kwa mlioanguka usikubali hisia zikuendeshe hovyo sometime hata wanawake wanatudharau sababu hatuwezi ku-controll hisia zetu tumekuwa kama kuku tukisha tamani tu akili inahama.Ukiweza kuzi-controll hisia hakuna mwanamke atakuyumbisha hata mawazo ya ngono ngono maana utakuwa na self-controll.CHALLENGE NJEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safii
 
Nilianza challenge vizuri tu ilivyofika 30 days usiku wake kuna manzi mbovu kinoma akanitumia text ya UMELALA ? aisee ile text niliisi imetoka kwa Beyoncé nilianza kuchat nae kama sexmate wangu adi nayeye akashangaa maana hua namkwepa ata kutembea nae tu barabarani nikasema hii no fab itanifanya nizalishe madem wabovu nikaona isiwe kesi nikajiripua moja heavy ile namaliza lidemu likatuma text kama unais barid nambie nije niitoe nilivyoiyona nikasema WTF [emoji15] nikamjibu tu USIKU MWEMA nais alikuw ameshakolea nime set tena leo ni siku ya 5 lengo ni 60 days tuombeane tu mahana hali ni tete.
 
[emoji16][emoji16] aisee umefika pazuri umeangushwa na kitu kidogo mze
 
Maskini umeandika kwa uchungu sana hadi nimeona huruma juu yako,
Hebu mfanye muoe
 
Labda uwe ulizaliwa ni towashi
 
Kwan wazee heb nipen faida kuu haswa ya challenge yenu, nijuavy mashine bila mazoez hupoteza ubora.

Out of saving, kila mtu atasave kama akiamua na si lazma challenge.
Mi nashauri msijites wadau haya matund tumeumbiw sis tuyale naamin faid za sex n ming kulik No Fap. Anaekataa nipe faida kuu tatu zisizopingika za challeng hii nami ntajiunga rasm
 
Swali moja tu, je umeoa?
 
Nipo huku tarime, aisee kuna pisi mbovu sijawahi kuona dunia nzima.. Nimeona nijiunge tu na hii challenge na nina wiki sasa, nataka nikomae mwaka mzima mpaka ntakaporudi katika mji niliouzoea.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nipo huku tarime, aisee kuna pisi mbovu sijawahi kuona dunia nzima.. Nimeona nijiunge tu na hii challenge na nina wiki sasa, nataka nikomae mwaka mzima mpaka ntakaporudi katika mji niliouzoea.
[emoji38][emoji38]
 
Mzee hii challenge unaweza pata ugwadu adi ukasema hivi kwaninj nisivamie bweni la wasicha la apo jirani [emoji16] usipokua makini unaenda jela live .
Quiting [emoji16][emoji16][emoji16]
 
budguy
Pita hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…