Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Inasaidia kuacha nyeto hyo ndio faida yani ukianza kuhesabu ukafika labda siku 25 hujapiga nyeto afu ukapiga nyeto roho itakuuma vibaya sana ukirud humu kuona wenzio wapo siku nyingi nying so ukianza kuhesabu tena lazma utulie...
Mkuu, acha kudanganya umma!

Dawa za kuacha punyeto zipo kabisa madukani, ila hiyo ya kujipa moyo eti utaacha ni uongo! Baada ya miezi miwili utazidiwa, utakuja kupiga ilo bao, hiyo siku utalala usingizi safi, kesho yake utasema "hii ya mwisho, sipigi tena"

Tafuta dawa mkuu!
 
hii challenge inafurahisha sana especially unaposoma comment za anguko kwa malegend wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inasaidia kuacha nyeto hyo ndio faida yani ukianza kuhesabu ukafika labda siku 25 hujapiga nyeto afu ukapiga nyeto roho itakuuma vibaya sana ukirud humu kuona wenzio wapo siku nyingi nying so ukianza kuhesabu tena lazma utulie...
Hivi kuacha punyeto ndo ngumu kiasi hicho?? Si mtu uamue tu kwanzia leo sipigi punyeto basi umemaliza! Vijana acheni punyeto
 
Kwa akili zangu timamu nimeona namimi nijiunge na hii challenge katika kusongesha gurudumu la Maisha. Naombeni jina la app nzuri ya kudownload kuendana na hii challenge

NB:Sijasoma comments zote hvyo we ukitaka kunitajia app taja tu usiniambie mpaka nipitie comment juu.
 
Oyaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora ungepiga ilo goma baya kuliko iyo moja ya hewani[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii imenisaidia mkuu
 
Nipo 35 days
Kusema kweli hii challenge ni ngumu
Yani kama nilivyofika day 26-30 [emoji23][emoji23] hali ilikuwa ngumu zaidi
Ila kwa sasa nimeanza kuzoea , i hope nitafika 90 days or more than that
 
Mkuu sio kama mbususu sina za kuzika ninazo na moja leo mapema asubui saa kanitumia text anataka nikachezee rough road, text yake sijajibu mpaka sasa nina deni la 1.5m nyege nazitolea wapi mkuu
😀😀 .....NOFAP!!!! ......acheni hizo swaga........connect me kwa madem zenu
 
Siyo kwa nia mbaya lakini nina wazo maana kuna watu humu tumesha wazoea bila papuchi mambo yao haya endi ... naomba tupewe vifaa maalum sisi wanaume tuvae ili mtu aki sex itupe tarifa ..... na akiwaza ujinga kichwa kimuume on sport ... nawasilisha
 
Sio kwl dawa ya nyeto ni kuamua kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…