FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Amani ya bwana iwe nawe. Samahani mkuu.Sielewi mantiki yako ni ipi, unataka ushahidi upi? Mtu akiamua kudanganya anaweza kuleta hizo screenshot za hizo app za kuhesabu lakini bado akawa anamwaga mbegu kama kawaida. Labda kama unataka upewe location ya mkuu ili uende uwe unashinda nae 24 hours ili upate huo ushahidi.
Just be inspired and not otherwise.
Sawa sawa mkuu, as long as uko true to you. Hatuwezi jua... lakini ni vizuri kuona kwamba intention yako ni njema. Kwa mantiki iyo basi niwie radhi.... eeeeeh!Exactly, Umenena vyema.
Miili yetu haijafungwa sensor ya kudetect unapomwaga mbegu ipeleke taarifa kwenye App,
Kwa hiyo hata ukimwaga mbegu still App itaendelea kukuhesabia tu no matter what ndio maana sikuona haja ya kuleta screenshot.
Twitter walishaifungia hio.Zama kwa mtu anaitwa bongouchi dadeki alfu check zile retweet ukimbiaa mmhuwa kila nikisikia connection yoyote siangaiki nazama tweeter tu nacheki vituss
Samahni watu wa fab
Mtumie picha ya mbooh ikiwa imesimama kweli kweli aamini.It won’t change a thing, jukwaa si lako na wewe sio muanzisha uzi.
Siangushi takwimu ili wewe peke yako uone, kuna wenzako ninakwenda nao nchi ya ahadi na kwa kuangusha takwimu nawapa moyo kuwa inawezekana.
Isipokupendeza wewe haimananishi kila mtu haitampendeza.
Naishia hapa.
64 days.
UpdateUpdate
Day 2
[emoji848][emoji848]Katika pitapita huko mtandaoni kuna bandiko nimelikuta sehemu mimi kama muhanga wa haya makitu aisee limeniinspire sana, tena saana sio kidogo.Nikaona nishee nanyi.
Bango hilo inasema PORN AND MASTURBATION IS FREE BECAUSE YOU PAY WITH YOUR SOUL. Duuuh…. Ukiyatafakari ni maneno mazito sana haya.
65 days.
Kuna improvements gani so far umeshazipata mkuu?65 days.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Shubir nyeg.. zitafute pa kutokea wahuni tukushone!...Siku ya 33 leo...
Day 4Update
Day 3
Duuh65 days.
Tupe changamoto tunaoanza mkuu ..maana leo ndo cku yangu ya nneNinafanya haya kwa ajili yangu, peke yangu, sioni tija ya kukuonyesha ushahidi kwamba nimepambana siku 64 and counting…..
Haitabadilisha kitu kama nikukupa au nisipokupa.
Uzi huu umenisadia kutimiza azma yangu, kwa ajili yangu.
Tunaokwenda pamoja, let us keep pushing [emoji1487][emoji1487]
Satisfied?
Jamaa kashaomba poo siku ya kumi tu....huu mchezo c poaAliyeanzisha huu uzi... 🤣🤣🤣
Nipeni taarifa zake wakuu. Isije ikawa yale ya tufunge macho tuombe kabla ya kula, baada ya maombi mnakuta chakula kimeisha.