Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hivi kuna na wengine ambao mnajizuia kupiga nyeto pale mnapokutana na picha za namna hii mtandaoni ama ni mimi mwenyewe?[emoji16][emoji16]View attachment 2326721
Hii ya kawaida sana naitazama hapa na kukaza macho zaidi ya mara kumi lakini wapi Mkunyenge hata haustuki japo mwili wangu upo verry reactive lakini hiyo picha haina maajabu.
 
Hii challenge ndogo sana ndugu zangu kikubwa ni kuamua tu, kabla ya kuuona hii uzi nilishatembea miezi 6 mwaka 2019 na 2021 nikatembea mingine sita, hakuna cha kujiributi wala kujiristati zaidi utaanza kuwaogopa wanawake na kuanza kusikia kinyaa kila ukikumbuka lile tendo.
Itafika wakati utajihisi umehanisika maana hata uone mwanamke kavaaje au kakaaje husisimki na badala yake utahisi kichefuchefu.
Kidushe kinasinyaa ni chakutafuta kama unatafuta thumni kwenye mfuko wa sandarusi, hasira nyingi na wakati mwingine unaweza jihisi unaumwa ukienda pima utaanbiwa huumwi chochote.
Mtakuja hapa kupruvu hii komenti mtakaotoboa miezi hiyo.
 
Asilmia mia moja ni uongo mtupu watu tumetoboa mwaka hakuna hata mmoja Kati ya uliyosema.
 
Umeandika kama mshabiki wa utopolo hakika ni wewe ni utopolo ,usiandike mambo ambayo huna uhakika nayo,lete research uliyofanya,maana kinachofanyika kwenye hili lina tafiti na lina majibu positive ,sasa wewe umefanyia wapi research yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…