Hii challenge ndogo sana ndugu zangu kikubwa ni kuamua tu, kabla ya kuuona hii uzi nilishatembea miezi 6 mwaka 2019 na 2021 nikatembea mingine sita, hakuna cha kujiributi wala kujiristati zaidi utaanza kuwaogopa wanawake na kuanza kusikia kinyaa kila ukikumbuka lile tendo.
Itafika wakati utajihisi umehanisika maana hata uone mwanamke kavaaje au kakaaje husisimki na badala yake utahisi kichefuchefu.
Kidushe kinasinyaa ni chakutafuta kama unatafuta thumni kwenye mfuko wa sandarusi, hasira nyingi na wakati mwingine unaweza jihisi unaumwa ukienda pima utaanbiwa huumwi chochote.
Mtakuja hapa kupruvu hii komenti mtakaotoboa miezi hiyo.