Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Hii mambo inachanganya kidogo!
Upande upande mwingine wataalamu wanasema kukaa muda mrefu bila kunyandua mtu kunasababisha Tezi dume!
Na kwamba kunyandua mara 24 kwa mwezi pia kunaua virusi vya Corona mwilini!
Wapo pia wanaosema kunyandua kunakufanya upante usingizi mzuri na kunaondoa stress zisizo za lazima na kukuepusha na baadhi ya magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisuksri, pressure etc. So tumuamini nani?
 
Nadhani kutunza mwili ni vizuri zaidi
Sex itumike kwa wanandoa tu tena wanaotafuta mtoto
 
Hii mambo ni nzuri kufanya kama mbinu ya MOJAWAPO ya kuondokana na addiction ya compulsive sexual behaviour ( kama masturbation na porn). Kwa upande wa partnered sex inasaidia kupunguza au kuacha kabisa unnecessary excess sex kwa ajili ya kutunza afya na ku direct akili kwenye sehemu nyingine za maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…