Ndiyo mimi kamanda ile akaunt yangu yenye jina bafetimbi nilishindwa kulog in baada ya kubadili simu nikainstall upya app ya JF sasa kila niijaribu kulog in kwenye akaunti yangu ya bafetimbi naambiwa “you are not compartible to this section” nimejaribu kukontakt na mods ila hakuna feedbak yoyote hivyo nikaamua kufungua akaunti mpya yenye jina hili.
Kuhusu muandiko labda tu Mwenyezi Mungu ametupa wengine uwezo wa kujitune kiasi kwamba mtu asigundue kuwa ni mimi ila ndiyo mimi mzee. Mambo ni magumu hatari… Nimerelapse mara kibao ila bado naendelea kupambana mzee…. Team NoFap for ever.