Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

15 days Nguvu ya kujiapiza na Msahafu nikae 2 week nimeweza.Nawaza nijiapize Mwezi japo Sina uhakika sana Kama nitaweza.
Hakuna kinachoshindikana
me leo niko hapa
Screenshot_2022-09-10-23-23-33.jpg

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** we si ndo muanzisha uzi aaaaah kamanda unafel bhana yaan unataka platoon commander ukimbie Platoon acha hzoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha tu ndugu yangu hili pambano si mchezo ila toka niingie kwenye dozi ya gono sijaharibu na dozi nimemaliza jana tuombeane tu mzee baba na tutashinda tu.
 
Muanzisha uzi si bafetimbi mbona miandiko tofauti ?

Ndiyo mimi kamanda ile akaunt yangu yenye jina bafetimbi nilishindwa kulog in baada ya kubadili simu nikainstall upya app ya JF sasa kila niijaribu kulog in kwenye akaunti yangu ya bafetimbi naambiwa “you are not compartible to this section” nimejaribu kukontakt na mods ila hakuna feedbak yoyote hivyo nikaamua kufungua akaunti mpya yenye jina hili.

Kuhusu muandiko labda tu Mwenyezi Mungu ametupa wengine uwezo wa kujitune kiasi kwamba mtu asigundue kuwa ni mimi ila ndiyo mimi mzee. Mambo ni magumu hatari… Nimerelapse mara kibao ila bado naendelea kupambana mzee…. Team NoFap for ever.
 
Pamoja sana mkuu.
 
Acha tu ndugu yangu hili pambano si mchezo ila toka niingie kwenye dozi ya gono sijaharibu na dozi nimemaliza jana tuombeane tu mzee baba na tutashinda tu.
Pamoja sana chief me mwenyewe nmeanza upya jumapili baada ya kupata U.T.I kwa manzi mmoja hivi najitahid kwanza niende mwezi mmoja Mungu akipenda
 
Nawatakieni kila la kheri pamoja na Mimi. Hii safari inavishawishi vingi Sana cha msingi nikutokata tamaa ukiona jambo linakuwa gumu hivyo basi ujue manufaa yake ni Makubwa sana kwahivyo tuzidi kumuomba Mungu hakuna litakalo shindikana kwa kudra za Mwenyezi Mungu
 
Hakika hata mimi naendelea
Screenshot_2022-09-17-08-34-34.jpg

Back
Top Bottom