Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Hakuna kinachoshindikana15 days Nguvu ya kujiapiza na Msahafu nikae 2 week nimeweza.Nawaza nijiapize Mwezi japo Sina uhakika sana Kama nitaweza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** we si ndo muanzisha uzi aaaaah kamanda unafel bhana yaan unataka platoon commander ukimbie Platoon acha hzoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muanzisha uzi si bafetimbi mbona miandiko tofauti ?
Pamoja sana mkuu.Ndiyo mimi kamanda ile akaunt yangu yenye jina bafetimbi nilishindwa kulog in baada ya kubadili simu nikainstall upya app ya JF sasa kila niijaribu kulog in kwenye akaunti yangu ya bafetimbi naambiwa “you are not compartible to this section” nimejaribu kukontakt na mods ila hakuna feedbak yoyote hivyo nikaamua kufungua akaunti mpya yenye jina hili.
Kuhusu muandiko labda tu Mwenyezi Mungu ametupa wengine uwezo wa kujitune kiasi kwamba mtu asigundue kuwa ni mimi ila ndiyo mimi mzee. Mambo ni magumu hatari… Nimerelapse mara kibao ila bado naendelea kupambana mzee…. Team NoFap for ever.
Pamoja sana chief me mwenyewe nmeanza upya jumapili baada ya kupata U.T.I kwa manzi mmoja hivi najitahid kwanza niende mwezi mmoja Mungu akipendaAcha tu ndugu yangu hili pambano si mchezo ila toka niingie kwenye dozi ya gono sijaharibu na dozi nimemaliza jana tuombeane tu mzee baba na tutashinda tu.
Naipate hii app mkuu,nianze uanachama leo
Hakika hata mimi naendeleaNawatakieni kila la kheri pamoja na Mimi. Hii safari inavishawishi vingi Sana cha msingi nikutokata tamaa ukiona jambo linakuwa gumu hivyo basi ujue manufaa yake ni Makubwa sana kwahivyo tuzidi kumuomba Mungu hakuna litakalo shindikana kwa kudra za Mwenyezi Mungu
Kaza man ufike15 days Nguvu ya kujiapiza na Msahafu nikae 2 week nimeweza.Nawaza nijiapize Mwezi japo Sina uhakika sana Kama nitaweza.
Na ilaaniwe twitter na jamhuri yake shenzi naanza tena upya sahivi
Mazafaka imefanya nimelitupa mojaTwitter imekutenda nini kamanda[emoji3]
Ule mtandao wa kishenzi snaa [emoji23] kuna page lazima utaishia kujilipua tu au kudinda sanaaNa ilaaniwe twitter na jamhuri yake shenzi naanza tena upya sahivi
Apa wengi tunachemka, kukaa geto mda mrefu kipengele inabidi uwe busy sanaWeekend ndo kipimo changu cha hii challenge maana ndo uwa nakuwa niponipo tu geto, Anyway nikivuka salama leo na kesho nakuwa nimetimiza 7days