Fanya mazoezi, kunywa maji kwa wingi na soma vitabu, kusoma vitabu kutakusaidia kufahamu kutawala hisia zako.Wenzangu hivi hakuna mtu anaeona side effects zozote?
Nahis nna hasira sana siku hizi View attachment 2437692
Piga Mazoez Ya Cardio Kila siku kwa Mda Usio zidi Dakika 45 afu kunywa maji mengi utakuwa Normal sana ila Mkuyenge unasimama sio poa, penda Kujichanganya Usikae Peke ako sanaDah! naona
Cardio awaachie wanawake mkuu, apige HIITs au weight lifting na maji ya kutosha.Piga Mazoez Ya Cardio Kila siku kwa Mda Usio zidi Dakika 45 afu kunywa maji mengi utakuwa Normal sana ila Mkuyenge unasimama sio poa, penda Kujichanganya Usikae Peke ako sana
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Haha Apo sawaCardio awaachie wanawake mkuu, apige HIITs au weight lifting na maji ya kutosha.
Vitabu nasoma, kiukweli productivity imezidi... kusoma nasoma kweli kweli hapo kwa mazoezi ndio sijahit gym kwa mda kidg ukichanganya na hii world cupFanya mazoezi, kunywa maji kwa wingi na soma vitabu, kusoma vitabu kutakusaidia kufahamu kutawala hisia zako.
Hasira ni kitu cha kawaida hasa unapokua unahifadhi nguvu zako za manii. Hii inasababishwa na kuongezeka kwa baadhi ya homoni na vichocheo mwili.
Panga ratiba zako vizuri tu mkuu, mazoezi kwa mwanaume ni muhimu sana pia usisahau kuoga maji ya baridi.Vitabu nasoma, kiukweli productivity imezidi... kusoma nasoma kweli kweli hapo kwa mazoezi ndio sijahit gym kwa mda kidg ukichanganya na hii world cup
Pindi nafanya zoezi nlkuwa sisomi vitabu kwa sana, sasa hivi nasoma vitabu niko sifanyi zoez nahitaji balance hapa.
Hahaha [emoji3][emoji3][emoji3]Nyeto mbaya sana !
Leo nimepatwa na tukio la aibu.
Sasa nitakuwa serious kwenye hii challenge + mazoezi & kula vizuri.
Huwezi wewe 🤣🤣Sijui nianze hii challenge
Anaweza bwana ni kuamua tuu mbona mie sasa wiki ya tano no nyeto no mbususuHuwezi wewe 🤣🤣
Kwa hiyo mzee baba unamaanisha wanachokitafuta watakipata tu [emoji28]
Hata walevi na wanywa mataputapu wana mentality kama zako dhidi ya wengine wasiojihusisha ,unaruhusiwa kuamini vile unavyoamini ..
Endeleeni kujidanganya,mtaanza kutamani mbolo sio muda
Hivi wenye hii challenge wana hela kweli
[emoji28][emoji28]Angalieni Isije zikahamia Nyuma huko.