Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 862
- 2,148
Fanya mazoezi, kunywa maji kwa wingi na soma vitabu, kusoma vitabu kutakusaidia kufahamu kutawala hisia zako.Wenzangu hivi hakuna mtu anaeona side effects zozote?
Nahis nna hasira sana siku hizi View attachment 2437692
Hasira ni kitu cha kawaida hasa unapokua unahifadhi nguvu zako za manii. Hii inasababishwa na kuongezeka kwa baadhi ya homoni na vichocheo mwili.