Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Ila me iyo kwangu nawezaga kuivumilia maana nakumbuka nimeanza 2015 nkaacha nikarudi tena nkaacha naona hainitawali saaaana kimbembe kwenye ngono apo ndo nmelowea..Ogopa sana Addiction ya kamari, Nilipambana kwa kipindi kirefu kujikwamua mpaka now nmeacha kabisa namdhukuru sana mungu. Ubaya wa kamari ni kuwa inadhalilisha immediately wala haikucheleweshi, Unaweza ukabetia hela ya Ada, hela ya watu maybe umetumwa au hela imepitia kwako ukasema ngoja nikaweke odd ya mbili ijidouble unakuja kustuka waletee. kinachofuata ni kudhalilika.
Tuna mengi ya kujifunza kweli maana kila siku zinavyoenda ndio naona hamna nachokijua. Kuna maarifa mengi sana yamejifichaHongera Bro, vijana wengi tunapoteza muda, pesa na Baraka kwa kutotambua purpose of life. Life designed by god for a purpose then there was a sex, Life is beautfull and sacred as well as sex. But there is more to live than Sex, Sex becomes more Profitable when you understand life and become more destructive when you do not understand the purpose of Life. Tuna mengi ya kujifunza.
Umekutana na demu mashine imekusaliti kutoa ushirikiano nn[emoji23]Nyeto mbaya sana !
Leo nimepatwa na tukio la aibu.
Sasa nitakuwa serious kwenye hii challenge + mazoezi & kula vizuri.
Mashine iligoma , nilitumia mbinu zote nizijuazo ili ngoma iwe strong ila bado haikusaidia kitu!!Umekutana na demu mashine imekusaliti kutoa ushirikiano nn[emoji23]
Duhh umetishaSiachi kuendelea
View attachment 2457197
Started 30 September 2022
Survived until today 8 November 2022.
Observation - Active mentally, physically & spiritually. High self esteem, confident, positivist & non procrastinator.
Jah, Bless. I am willing to celebrate incoming Christmass and Welcome a New Year 2023 #Free from porno, masterbution & sex.
Huwezi fikia level zangu hapo juu dogoLegend himself imefikia hatua mpaka sihehesabu sasa maana imekuwa naona kawaida siku nyingi sana..
Ukitoboa wiki 2 niite nyau niko humu ππππ (joking)
Melengo yako mpaka ufikishe siku ngapi ? mimi malengo yangu mpaka 2025 panapo majaaliwa.Huwezi fikia level zangu hapo juu dogo
Upige na kura kabisa[emoji23][emoji23]Melengo yako mpaka ufikishe siku ngapi ? mimi malengo yangu mpaka 2025 panapo majaaliwa.