Haha kwa hali hii challenge tutatoboaUkinyanyuka tu basi walete shughuli imeisha[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kwa hali hii challenge tutatoboaUkinyanyuka tu basi walete shughuli imeisha[emoji16]
Mke wangu analea
Nilianza siku ya tarehe 12.1.2023
Leo ni day 9
Nataka niende miezi mitatu
Nitakuwa active na joging walau mara mbili kwa wiki
Nimemuonyesha Haji Manara hii thread ametukana sana, anasema yeye hawezi kukaa bila kujipigia punyeto au kuangalia sinema za ngonoWasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Mimi nimeanza 6/2/2023/ mpaka 6/2/2024 ndo lengoDay 25
Feeling like 18 years old ukichanganya na joging ninayofanya
Lengo miezi mitatu siku tisini
Mmmmmh ni uongo hiyo au ndo maana anasura ya kizeee we haji umempatia wapi wwNimemuonyesha Haji Manara hii thread ametukana sana, anasema yeye hawezi kukaa bila kujipigia punyeto au kuangalia sinema za ngono
Mimi nimeanza 6/2/2023/ mpaka 6/2/2024 ndo lengo
Mabadiliko vipi
Baada ya kuacha nyeto kwa 100 days(sex & porn) na kufanya vi mazoezi vya hapa na paleMabadiliko vipi
Baada ya kuacha nyeto kwa 100 days(sex & porn) na kufanya vi mazoezi vya hapa na pale
--Kiukweli akili yangu imetulia tofauti na mwanzo
--Uume wangu umeimarika na kuongezeka kiasi
--Mawazo machafu mengi yamepungua kichwani mwangu(hasa baada ya kuacha kuangalia porn for 100dys)
*Mabadiliko ni mengi , hapo nimeyataja kwa uchache tu
*Kwa sasa nimeizoea hii hali , sina hamu ya kuangalia porn wala kupiga nyeto.
*Kwenye sex hapa ni pagumu kidogo hasa kama mazingira yako yana vishawishi vingi[emoji16] hivyo uvumilivu unahitajika
Mwisho:Tuendeleeni na hii challenge yetu kama ukiweza kukaa siku 10 basi unaweza kukaa hadi siku 30 , ukikaa 30dys unauwezo wa kukaa hadi 90dys na ukikaa 90dys basi jua unauwezo wa kukaa hadi utakapo.Goodluck msisahau maombi[emoji120]
Usikate tamaa ndugu utatoboa tuNimerelapse 0 days tena wakuuu [emoji24]. Naanza tena kesho 12/2/2023 saivi naeka malengo ya wiki wiki kwanza
Wasalamu wakuu kitambo sana humu
Okay mwaka huu nimeanza rasmi...
Nipo addicted na vitu flani ila nina
Siku ya 4 sasa inaenda ya tanoView attachment 2516519
Warumi Tena nn ndio shida auNimerelapse 0 days tena wakuuu [emoji24]. Naanza tena kesho 12/2/2023 saivi naeka malengo ya wiki wiki kwanza